The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Jambo la kwanza, tukubaliane na MK254 kwamba hawa ndugu zetu wapo kwenye maisha magumu baada ya kubomolewa nyumba zao hilo la kwanza.
Pili, kwamba Kibera kuna hali mbaya hilo ni jambo lingine, nakubali kuwa wana hali mbaya lakini haitakiwi kufumbia macho matatizo yetu kisa kwingine kuna ubovu zaidi.
Mwisho, iwe Kenya au Tanzania, kuna watu wanamaisha duni na ya dhiki mno, sijajua kwanini tunachekana na kukejeliana kwa vitu vinavyosikitisha. Hapa bora hata ingekua tunajadili namna ya kujikwamua inaweza isiwe na mchango chanya wa moja kwa moja lakini najua kuna watu wenye mamlaka wapo JF wanaweza kupata mawazo ya nini cha kufanya.
Niwatakie siku njema