Duh! Hii video inatia huruma, kuna Watanzania wanaishi maisha ya tabu sana, mbona hivi kwa kweli

Duh! Hii video inatia huruma, kuna Watanzania wanaishi maisha ya tabu sana, mbona hivi kwa kweli

Jambo la kwanza, tukubaliane na MK254 kwamba hawa ndugu zetu wapo kwenye maisha magumu baada ya kubomolewa nyumba zao hilo la kwanza.

Pili, kwamba Kibera kuna hali mbaya hilo ni jambo lingine, nakubali kuwa wana hali mbaya lakini haitakiwi kufumbia macho matatizo yetu kisa kwingine kuna ubovu zaidi.

Mwisho, iwe Kenya au Tanzania, kuna watu wanamaisha duni na ya dhiki mno, sijajua kwanini tunachekana na kukejeliana kwa vitu vinavyosikitisha. Hapa bora hata ingekua tunajadili namna ya kujikwamua inaweza isiwe na mchango chanya wa moja kwa moja lakini najua kuna watu wenye mamlaka wapo JF wanaweza kupata mawazo ya nini cha kufanya.

Niwatakie siku njema
 
Umeona wivu kuona watu wanamiliki magari hku wengine wakichapa kazi zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway, tundu lissu hafanyi vizuri kuwatangaza kw mabeberu kw ubaya hvo..
Mnatakiwa mara hii akirejea mmteke halafu mmnanii km yule nanii waliomteka kisha wakamnani...
nimeshindwa kuielewa video ya Kibera kwani mwanzo - mwisho jamaa hajashuka kwenye gari ila tu anatuonesha Barabara na vijumba vya pembezoni
amesema Kibera is No 1 BIG SLUM in Africa and World
Hata Mama Tibaijuka alipokuwa UN Habitat aliishughulikia sana Kibera ili wawe wastaarabu vijumba vyao ni mabox askari wanafukuzana na machokoraa vurugu ikitokea inawakuta hata watoto waliojificha vijumbani
Kenya onesheni uhalisia wa maisha msijikweze
 
Hapo ni congo bana...mabeberu tu hao, yule tuliyempiga risasi ndio kapeleka hzo hzo propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unaweza kukuta nabishana chokoraa wa Mungiki wewe nakwambia fungua link unasema Tundu Lissu mm huyo simjui na sio Kiongozi wangu au mjomba,
Kibera is the Biggest SLUM No 1 in the World
 
Ccm hoyeeeee...wapnzani siku hz kuitwa mashoga ndio habari ya mjini[emoji122][emoji122][emoji122]

hujazaliwa tulishawakataa MANYANG'AU
tunahcozungumzia sio hicho wewe unaleta mambo ya Orange mara wajaluo mara T mara CCM rudi kwenye Mada
 
Back
Top Bottom