No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Naunga mkono hoja! Hawa jamaa sio wa kuwazoea kabisaa..Wakenya hakuna nchi inayowanyima usingizi duniani kama Tanzania yaani wanateseka nayo kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja! Hawa jamaa sio wa kuwazoea kabisaa..Wakenya hakuna nchi inayowanyima usingizi duniani kama Tanzania yaani wanateseka nayo kweli
Pumzika kwa Amani
Aisee nimeona video ya kibera kwenye runinga ya K24 kuna uchochole/umaskini wa hali ya juu yani watu wanasubiri vitu vilivooza na kutupwa sokoni nao wanaokota kwenda kuuza tena duh
Umaskini upo kila sehemu
Mabeberu bana....
hapo Kibera Mvua hazijanyesha
View attachment 1240930View attachment 1240931View attachment 1240932kibera kenya population - Google Suche
www.google.com
Tangu mwaka wa 2015 buku hazijatosha?Kibera hawana vyoo, hebu shughulika na matatizo ya kwenu, hawa ambao wamevunjiwa bila fidia, hata kila mtanzania akichanga buku tu, watakuwa na hali nyingine tofauti kabisa.
MK254 pambana na hali yako
Akija hapa nitag 😂joto la jiwe hebu njoo humu.
acha kuisingizia Congo mbona nimekupa na link hapo ya Google kwanini usiingie ni Nairobi hiyo kitongoji cha KiberaBongo hakuna mabanda bana...hapo ni congo...wanaokota video na picha za halafu wana edit wakisema ni tanzania
Hii picha ya kitambo sana. Tazama Kibera hapa inavyozidi kubadilika.acha kuisingizia Congo mbona nimekupa na link hapo ya Google kwanini usiingie ni Nairobi hiyo kitongoji cha Kibera
sijasema Bongo na kwetu hata Manzese wameendelea
bofya hapa kibera kenya population - Pesquisa Google
View attachment 1241533
Kile chama cha kutetea haki za wanaume hapo Nairobi kina kazi ya ziada. Ikiwa watoto wa kiume mna umbea namna hii, kweli mtaachwa kuchapwa makofi na wake zenu?Bakia kwenye mada! Usigeuze kibao!
Kwani wewe mkaazi wa Kinondoni pia? Kulingana na jina lako hilo?Kile chama cha kutetea haki za wanaume hapo Nairobi kina kazi ya ziada. Ikiwa watoto wa kiume mna umbea namna hii, kweli mtaachwa kuchapwa makofi na wake zenu?
H
Hii picha ya kitambo sana. Tazama Kibera hapa inavyozidi kubadilika.
Nadhani umejionea mabadiliko, inashangaza vitu vya msingi hujaona. Watu wanachapa biashara zao tu freshi, wengine wamenunua magari, pikipiki na tuktuk!nimeshindwa kuielewa video ya Kibera kwani mwanzo - mwisho jamaa hajashuka kwenye gari ila tu anatuonesha Barabara na vijumba vya pembezoni
amesema Kibera is No 1 BIG SLUM in Africa and World
Hata Mama Tibaijuka alipokuwa UN Habitat aliishughulikia sana Kibera ili wawe wastaarabu vijumba vyao ni mabox askari wanafukuzana na machokoraa vurugu ikitokea inawakuta hata watoto waliojificha vijumbani
Kenya onesheni uhalisia wa maisha msijikweze
HAPANA UCHAFU BADO UNATISHA hii ni No 1 in AfricaNadhani umejionea mabadiliko, inashangaza vitu vya msingi hujaona. Watu wanachapa biashara zao tu freshi, wengine wamenunua magari, pikipiki na tuktuk!
Wapi hivyo vyumba vya mabox? Watu wamejenga kwa mawe na mabati. Video hio hapo usiivalie miwani ya mbao.
HAPANA UCHAFU BADO UNATISHA hii ni No 1 in Africa