Duh hizi hela Sh336bn Watanzania wamelazimishwa walipe, poleni

Duh hizi hela Sh336bn Watanzania wamelazimishwa walipe, poleni

Sasa naona watu wengine hapa wanasema ati iko nafasi ya "appeal" nataka hao watu wasome uamuzi huu sawa sawa, tenesco haina budi ila kulipa standard bank of hong kong a sum of 148.7m us dollars pamoja na intrest ya 4% toka tarehe 30 september 2015 wakati uamuzi wa kwanza wa kuitaka tenesco ilipe hizo hela ulitolewa, Na kweda shule husaidia kabisa, naona pia wengine hapa wakisema ati ittp, ni ya tz, pls soma hio uamuzi pole pole, uamuzi ni standard bank hong kong ilipwe hizo hela, je ittp kuwa ya tz inatokea wapi?hii uamuzi au hii kesi iliwakiliswa kwa hii kamati na standard bank hong kong na waliositakiwa ni tenesco, tenesco haikulipa umeme ambao tenesco ilikuwa imeingia mkataba ya ittp ambao ilikuwa ni mali ya standard bank hong kong incl, na ndio hao wakafika kwa hii kamati, sasa tenesco sio tu watalipa hii 147.8m us dollars pamoja na hio riba ya 4% kwazia 30sept 2015, lakini pia tenesco imeamuriwa kulipa gharama zote za kesi, vikao vyote, ila tu kila pande italipa gharama ya mawakili wake. sasa tz lazima ilipe hii hela 148.7m us dollars, 4% intrest kwanzia hapo 30sept 2015, na pia gharama yote ya kesi, hio ni kwa mujibu wa uamuzi wa hii korti ya biashara.hakuna kuta rufaa maana hii hela tenesco iliamuliwa kulipa toka 2015, na ndio tenesco ikakata rufaa, ambao matokeo yake na uamuzi ndio haya, hii ni kesi nimeifuata kila hatua toka hapo 2015,na pia nisapata copy ya hii uamuzi, kaa mtu ambae anataka kufanya uekezaji tz, hii kesi ilikuwa ya muhimu sana kwangu,maana kaa intl investor mukikosana na serikali, hii korti ndio unaenda kuwakilisha kesi yako, tz hali sasa ni ngumu sana kwa wekezaji wa kigeni,na ndio unaona hali ya maisha imekuwa mbaya sana, lakini najua siku yaja ambao mambo yatakuwa sawa, baraka tele kwa wote. nafikiri nimefafanua ya kutosha kuhusu hii kesi, mtu ambae ako na swali, jisikie huru kuniadikia nitakupa jibu ya kila swali, mubarikiwe sana.
Wewe ni international investor kwa Tanzania kivipi? Kwani wewe si mtanzania?
 
Watakabeba ka ndege ketu kakienda popote nje maana inadaiwa serikali
 
Hii ndio madhara ya udikteta. Sasa unaweza pata kesi ni kuhusu unlawful termination of contract. Kesi nyingi za nchi za kidikteta huwa hizo. Unakuta dikteta anapoingia madarakani anaamua kucancel project iliyokuwa inaendelea bila kufuata sheria. Hata kesi ya Acacia inaeza ishia hivi tu. Haya ni costs and expenses za dictatorship.
You know nothing man, better mute and learn, fuatilia madhara ya mkataba wenu wa kijinga na wachina wa sgr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, naona ukweli imekuingia kwa nyuma. Na mshawasho imekuzidi

Kujifanya upo concerned na bongo whilst umejawa na wivu, we have the best advocates, walishikilia ndege yetu canad, ipo wapi bongo now, sasa usishabikie mambo mapema usije aibika hii kitu itakapogeuka.
Huelewi huu mkataba wa tanesco na iptl ulivyokuwa wa kinyonyaji na wanufaikaji ni vigogo wa nchi hii hii, ndio walioifungulia case.
Sasa nikiona mmama kama ww wa kikenya unasema dikteta kafanya hivi na vile nakuona fara tu usiejua kitu, zaidi sana umejawa na wivu na husda. Dua la kuku halimpati mwewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watching these Tanzanians struggling to accept reality is soooo comically sad. Hurling insults at Kenyans won't change this shit sandwich of a ruling
 
Hii ndio madhara ya udikteta. Sasa unaweza pata kesi ni kuhusu unlawful termination of contract. Kesi nyingi za nchi za kidikteta huwa hizo. Unakuta dikteta anapoingia madarakani anaamua kucancel project iliyokuwa inaendelea bila kufuata sheria. Hata kesi ya Acacia inaeza ishia hivi tu. Haya ni costs and expenses za dictatorship.
Kabla ya kulimbilia kutoa comment, try and get your facts right i.e when did this case start.
 
Hii ni ndeni ndogo sana, Acacia wako na $190B ya Tanzania na hawasubui..What the fvck is $148m? Hii ni pesa kinyesi..Hata si lazima walipwe..ndeni linaweza taifishwe liwe goverment bond walipwe Intrest ya 0.0001% per year miaka elfu mbili..Si haja yao ni pesa tu
 
And this tenasco is supposed to electrify the esgiira?! Hahaha....ok.
 
Hii ni ndeni ndogo sana, Acacia wako na $190B ya Tanzania na hawasubui..What the fvck is $148m? Hii ni pesa kinyesi..Hata si lazima walipwe..ndeni linaweza taifishwe liwe goverment bond walipwe Intrest ya 0.0001% per year miaka elfu mbili..Si haja yao ni pesa tu

mmmmm.......jipe raha mwenyewe!!!!
Panya-1.jpg
 
Back
Top Bottom