Acha chuki BINAFSI Wewe suala LA IPTL linahusiana nn na maguful unaemuita dikteta wakat hiyo kesi ipo zaid ya miaka 6 huko ovyo SanaHii ndio madhara ya udikteta. Sasa unaweza pata kesi ni kuhusu unlawful termination of contract. Kesi nyingi za nchi za kidikteta huwa hizo. Unakuta dikteta anapoingia madarakani anaamua kucancel project iliyokuwa inaendelea bila kufuata sheria. Hata kesi ya Acacia inaeza ishia hivi tu. Haya ni costs and expenses za dictatorship.