Sasa naona watu wengine hapa wanasema ati iko nafasi ya "appeal" nataka hao watu wasome uamuzi huu sawa sawa, tenesco haina budi ila kulipa standard bank of hong kong a sum of 148.7m us dollars pamoja na intrest ya 4% toka tarehe 30 september 2015 wakati uamuzi wa kwanza wa kuitaka tenesco ilipe hizo hela ulitolewa, Na kweda shule husaidia kabisa, naona pia wengine hapa wakisema ati ittp, ni ya tz, pls soma hio uamuzi pole pole, uamuzi ni standard bank hong kong ilipwe hizo hela, je ittp kuwa ya tz inatokea wapi?hii uamuzi au hii kesi iliwakiliswa kwa hii kamati na standard bank hong kong na waliositakiwa ni tenesco, tenesco haikulipa umeme ambao tenesco ilikuwa imeingia mkataba ya ittp ambao ilikuwa ni mali ya standard bank hong kong incl, na ndio hao wakafika kwa hii kamati, sasa tenesco sio tu watalipa hii 147.8m us dollars pamoja na hio riba ya 4% kwazia 30sept 2015, lakini pia tenesco imeamuriwa kulipa gharama zote za kesi, vikao vyote, ila tu kila pande italipa gharama ya mawakili wake. sasa tz lazima ilipe hii hela 148.7m us dollars, 4% intrest kwanzia hapo 30sept 2015, na pia gharama yote ya kesi, hio ni kwa mujibu wa uamuzi wa hii korti ya biashara.hakuna kuta rufaa maana hii hela tenesco iliamuliwa kulipa toka 2015, na ndio tenesco ikakata rufaa, ambao matokeo yake na uamuzi ndio haya, hii ni kesi nimeifuata kila hatua toka hapo 2015,na pia nisapata copy ya hii uamuzi, kaa mtu ambae anataka kufanya uekezaji tz, hii kesi ilikuwa ya muhimu sana kwangu,maana kaa intl investor mukikosana na serikali, hii korti ndio unaenda kuwakilisha kesi yako, tz hali sasa ni ngumu sana kwa wekezaji wa kigeni,na ndio unaona hali ya maisha imekuwa mbaya sana, lakini najua siku yaja ambao mambo yatakuwa sawa, baraka tele kwa wote. nafikiri nimefafanua ya kutosha kuhusu hii kesi, mtu ambae ako na swali, jisikie huru kuniadikia nitakupa jibu ya kila swali, mubarikiwe sana.