Published on May 3, 2017
May 3 2017 ni maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya Habari ambapo kitaifa yamefanyika Mwanza na kuhudhuriwa na Wadau pamoja na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe.
Marufuku Magazeti kusomwa Redioni na TV Tanzania - Dr. Mwakyembe
Millard Ayo
Hapa sasa ni kama Kenya wakati wa Rais MOI. Nchi itaongozwa na dikteti kupita rais museveni na kagame combined!!!
Kwa taarifa yako hao wamiliki wa hayo magazeti ndio wakwanza kufurahia Taarifa hiyo,nonsense....mwisho yatafungiwa kabisa hayo magazeti.alafu watu wanasema anadeliver.inaanza tu na izi baby steps
Hujaelewa mantiki yake! Tulia kwanza maana hata wenye magazeti hapa wataunga mkono.Published on May 3, 2017
May 3 2017 ni maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya Habari ambapo kitaifa yamefanyika Mwanza na kuhudhuriwa na Wadau pamoja na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe.
Marufuku Magazeti kusomwa Redioni na TV Tanzania - Dr. Mwakyembe
Millard Ayo
Hapa sasa ni kama Kenya wakati wa Rais MOI. Nchi itaongozwa na dikteti kupita rais museveni na kagame combined!!!
Hujaelewa mantiki yake! Tulia kwanza maana hata wenye magazeti hapa wataunga mkono.
Dah! Inabidi kukaa pembeni na kutazama kwa macho, itachukua muda sana mimi kumwelewa Magufuli anachojaribu kufanya au malengo yake, maana kila uchao anaibuka na jipya, hujui kesho atakuja na lipi. Halafu anathubutu chochote bila breki. Juzi ametangaza kuwafuta wote wenye vyeti feki nikamsifia, leo ameibuka na hili la kuzuia magazeti kusomwa redioni...khaa!
Labda ndani ya miaka mitano tutamwelewa, labda huyu ndiye aina ya rais Afrika inahitaji au ndiye wa kukaa mbali naye. Labda Afrika hatuhitaji uhuru wa maoni, magazeti wala demokrasia za wazungu vitu ambavyo naona Magufuli anaviminya, au labda atakua anafanya makosa makubwa sana. Tusubiri tuone experiments zake hizi kama zitafua dafu.
Akipewa kipaaza sauti na kuanza kutoa hotuba, yeye huzungumza kilicho moyoni, wala harembi au kupaka kwa mgongo wa chupa. Anasema tu liwalo na liwe, juzi kawaambia watu wa Kilimanjaro amewasamehe kwa kupigia kura upinzani, kwanza kule Kagera ndio katema cheche wakati wa janga la tetemeko la ardhi. Halafu keshasema hapangiwi na wala asijaribiwe na mtu....hehehehe!!
Haya Magufuli yetu macho mzee, labda wewe ndiye kiongozi wa kuigwa na utainyanyua Tanzania iwe kwenye level mpya kiuchumi na kimaendeleo kwa kuzuia makelele na maneno mengi ya Waswahili na kuwaburuza kwa pua ili wafanye kazi na kuacha soga au labda wewe ndiye utaipiga chini nchi kwa kutotaka ushauri wala nini.
kina moha waliandika na kuwasema wote wenye rushwa mbona hawajipigwa izo risasiKwa taarifa yako hao wamiliki wa hayo magazeti ndio wakwanza kufurahia Taarifa hiyo,
Gazeti linasomwa habari mwanzo mwisho nani akanunue !!?
Kwasasa habari itasomwa kichwa chake tu
ukitaka mwendelezo unakwenda kununua.
KTN kenya Kwasasa magazeti yake waandishi wanaficha majina yao halisi
kuogopa kupigwa Risasi maana wanatishwa kila kukicha hasa kuhusu habari za Rushwa,
Anza mlangoni mwako kabla ya kuangalia mlango wa Jirani
Dah! Inabidi kukaa pembeni na kutazama kwa macho, itachukua muda sana mimi kumwelewa Magufuli anachojaribu kufanya au malengo yake, maana kila uchao anaibuka na jipya, hujui kesho atakuja na lipi. Halafu anathubutu chochote bila breki. Juzi ametangaza kuwafuta wote wenye vyeti feki nikamsifia, leo ameibuka na hili la kuzuia magazeti kusomwa redioni...khaa!
Labda ndani ya miaka mitano tutamwelewa, labda huyu ndiye aina ya rais Afrika inahitaji au ndiye wa kukaa mbali naye. Labda Afrika hatuhitaji uhuru wa maoni, magazeti wala demokrasia za wazungu vitu ambavyo naona Magufuli anaviminya, au labda atakua anafanya makosa makubwa sana. Tusubiri tuone experiments zake hizi kama zitafua dafu.
Akipewa kipaaza sauti na kuanza kutoa hotuba, yeye huzungumza kilicho moyoni, wala harembi au kupaka kwa mgongo wa chupa. Anasema tu liwalo na liwe, juzi kawaambia watu wa Kilimanjaro amewasamehe kwa kupigia kura upinzani, kwanza kule Kagera ndio katema cheche wakati wa janga la tetemeko la ardhi. Halafu keshasema hapangiwi na wala asijaribiwe na mtu....hehehehe!!
Haya Magufuli yetu macho mzee, labda wewe ndiye kiongozi wa kuigwa na utainyanyua Tanzania iwe kwenye level mpya kiuchumi na kimaendeleo kwa kuzuia makelele na maneno mengi ya Waswahili na kuwaburuza kwa pua ili wafanye kazi na kuacha soga au labda wewe ndiye utaipiga chini nchi kwa kutotaka ushauri wala nini.
Huna akili. Unamuhusishaje Magufuli na hili? Wewe ni mjinga.
Watu wamagazeti ndio wamemuomba waziri aiweke hiyo ban.
TV hununua magazeti then huwasomea watu kila kilicho andikwa kwenye newspaper na sio gazeti moja bali yote, sasa nani atanunua magazeti?
Ndio maana wameban kusoma habari nzima, wawe wanasoma headlines tu na sio habari zilizo andikwa.
Unaandika Habari ndeefu mantiki Ziro,
Utamuelewa mtu vipi wakati huna faida kwake au kwa taifa lake.
Yule ni Rais wa Tanzania siyo Rais wa Kenya
kumuelewa au kuto muelewa haita saidia watanzania.