Duh! Huyu Mkenya kwa ujasiri agoma kupisha msafara wa kiongozi uliokuwa umekiuka sheria barabarani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Msafara wa kiongozi fulani ambaye hajatambulika bado, ulikiuka sheria za usalama barabarani na kuwataka madereva waupishe, huyu Mkenya hapa kwa kujitambua alisimamisha gari lake na kugoma kuliondoa.
Kuna nchi ambazo ukijaribu kitu kama hiki, lazima watu wasiojulikana wakuhusu.

Kiongozi wa hivi ingekuwa Bongo chini ya JPM hata kazi angeikosa ndani ya masaa 24.

Mnaleana sana Majirani zetu, huo ni ujinga
 
Bongo nyingine ama ile tunaijua ambayo kuna viongozi kama akina Daudi Bashite wenye uwezo hata wa kuingia kwenye vituo vya habari na kufanya vurugu humo na wasiguswe na mtu. Spika anaamrisha CAG, yaani huko kwenu kila kiongozi full mikwara na ubabe.
 
Mkuu wa mkoa hana escort ,,
 
Ulishauona msafara wa mama nginaa wewe? Maria Nyerere huwezi kumuona na escorts hata siku moja.

Msafara wa mama nginaa ni kama wa Rais
Uliona msafara wa Mama Ngina kwenye filamu ya comedy au, na Maria Nyerere ndio nani?
 
kuna nchi hapa duniani huyo mchochezi angekuwepo, saa hizi angeshakua na kesi ya uhujumu uchumi!
 
Msafara wa kiongozi fulani ambaye hajatambulika bado, ulikiuka sheria za usalama barabarani na kuwataka madereva waupishe, huyu Mkenya hapa kwa kujitambua alisimamisha gari lake na kugoma kuliondoa.
Kuna nchi ambazo ukijaribu kitu kama hiki, lazima watu wasiojulikana wakuhusu.

nchi ya tanzania sheria hipo kama haipo.
nchi za wenzetu wanasheria zinazo wapa kujitambua na kuoji.
mfano s.afrika hata kama umekamatwa ndani ya gari la mtu ana madawa ya kulevya na wanamtaka yeye muhusika au wamehisi basi unaweza kuoji na kukuacha kama sio muhusika.
 
Back
Top Bottom