MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Upo sahihi ila kuheshimu mamlaka sehemu ulipo si vibaya,na kwa mazingira ya Africa ni ngumu sana hata huyo Magu unayemsema akiwa ziarani hapa Dsm njia huwa inafungwa hata Saa 6 na alichokifanya huyo jamaa ni hatari kwa maisha yake
Kuna tofauti kati ya kuheshimu na kuogopa, tunafaa tuheshimu mamlaka lakini sio kuogopa, njia kufungwa hiyo sawa maana itaondoa usumbufu, pia ndio maana huwa askari wanatangulizwa ili kuweka mambo sawa kiongozi apite bila usumbufu, fahamu kama msafara unatokea kwa nyuma na wanataka kukupita, hapo ni sahihi kuondoka, lakini hili la wao kuingia 'wrong side' na kuibuka kwa mbele, hapo wamevunja sheria na watasababisha usumbufu mkubwa.