Duh! Huyu Mkenya kwa ujasiri agoma kupisha msafara wa kiongozi uliokuwa umekiuka sheria barabarani

Duh! Huyu Mkenya kwa ujasiri agoma kupisha msafara wa kiongozi uliokuwa umekiuka sheria barabarani

nchi ya tanzania sheria hipo kama haipo.
nchi za wenzetu wanasheria zinazo wapa kujitambua na kuoji.
mfano s.afrika hata kama umekamatwa ndani ya gari la mtu ana madawa ya kulevya na wanamtaka yeye muhusika au wamehisi basi unaweza kuoji na kukuacha kama sio muhusika.

Duh, mkuu huna nchi nyingine ya kutolea mfano?? South Africa sio mfano wa kuigwa when it comes to crimes. Wakati mwingine tujikubali pamoja na mapungufu yote we are doing better.
 
Duh, mkuu huna nchi nyingine ya kutolea mfano?? South Africa sio mfano wa kuigwa when it comes to crimes. Wakati mwingine tujikubali pamoja na mapungufu yote we are doing better.

ndo nilipo .hata kasoro na jifunza kupitia kwao.tembea na wewe ujifunze
 
Ulishauona msafara wa mama nginaa wewe? Maria Nyerere huwezi kumuona na escorts hata siku moja.
Msafara wa mama nginaa ni kama wa Rais
compare like for like..Mama ngina(if you mean uhuru's mum) is a mum to a sitting president, mama nyerere is wife to a late former President, near zero threat to her security.A more appropriate comparison would be mama nyerere and moi's late wife
 
TZ tutajua kwamba ulikuwa sahihi ukiwa hospitali baada ya kuokotwa baada ya kampeni ya #bring-back [emoji23]
 
Msafara wa kiongozi fulani ambaye hajatambulika bado, ulikiuka sheria za usalama barabarani na kuwataka madereva waupishe, huyu Mkenya hapa kwa kujitambua alisimamisha gari lake na kugoma kuliondoa.
Kuna nchi ambazo ukijaribu kitu kama hiki, lazima watu wasiojulikana wakuhusu.

Bonface is a nutt case and we need just a dozen of such to bring this people down to earth.I know of two, him and okiya.There used be a fierce lady in the cival society back in days(forgetting the name)but she unfortunately fizzled out.
 
Ulishauona msafara wa mama nginaa wewe? Maria Nyerere huwezi kumuona na escorts hata siku moja.

Msafara wa mama nginaa ni kama wa Rais
Hehehe sycophancy itakumaliza. Leo unakarangwa na watanzania wenzako juu tu ya kusema uongo in the name of defending your politics. You should redeem yourself before calling yourself Redeemer.
 
Mkuu kwahiyo alichofanya ni sahihi na unamuona shujaa?

Unapomzuia kiongozi anapovunja sheria, unakua upo sahihi....sheria zimetungwa ili tusiishi kama wanyama, pasiwe na uonevu wa aina yoyote ile, uwe unazo pesa, madaraka au nini.
Watu mumekandamizwa kiasi kwamba mumesahau hao waliopo kwenye madaraka mumewaajiri nyie, mishahara yao mnawalipa nyie kwenye kodi zenu. Akija anakubabaisha kwa mikwara hadi anaweza akambaka binti yako na umsujudie.
Kidogo huwa napenda jinsi Magufuli akienda mikoani anawaalika wananchi wa kawaida wanasema kero zao dhidi ya wakuu wa mikoa na wilaya tena mbele ya umati kwenye vipaza sauti.
 
Ahaa ha ha kuna siku niko Washington nika sikia ving'ora, mara nikaona msafara una magari kama matatu hivi na pikipiki mbili. Lkn nilichoona, madereva wengine walisimama kulia ili kupisha msafara. Msafara ulipopita waliendelea na safari zao. Kwa hiyo huyo mkenya sijui anaelewa maada ya executive ambao wanapaswa kupita kwa upesi kwa ajili ya usalama wao na kuwahi muda.
 
Tazama video hadi uelewe ndio utuongopee mambo ya Washington ya Tandale, sijui kwanini mna haraka hivi, huu msafara upo kwenye wrong side of the road, ni kawaida kuuondokea msafara wa kiongozi, lakini sio pale wanakuibukia kwa mbele huku wakivunja sheria na kanuni za barabarani.
 
Unapomzuia kiongozi anapovunja sheria, unakua upo sahihi....sheria zimetungwa ili tusiishi kama wanyama, pasiwe na uonevu wa aina yoyote ile, uwe unazo pesa, madaraka au nini.
Watu mumekandamizwa kiasi kwamba mumesahau hao waliopo kwenye madaraka mumewaajiri nyie, mishahara yao mnawalipa nyie kwenye kodi zenu. Akija anakubabaisha kwa mikwara hadi anaweza akambaka binti yako na umsujudie.
Kidogo huwa napenda jinsi Magufuli akienda mikoani anawaalika wananchi wa kawaida wanasema kero zao dhidi ya wakuu wa mikoa na wilaya tena mbele ya umati kwenye vipaza sauti.
Upo sahihi ila kuheshimu mamlaka sehemu ulipo si vibaya,na kwa mazingira ya Africa ni ngumu sana hata huyo Magu unayemsema akiwa ziarani hapa Dsm njia huwa inafungwa hata Saa 6 na alichokifanya huyo jamaa ni hatari kwa maisha yake
 
Tazama video hadi uelewe ndio utuongopee mambo ya Washington ya Tandale, sijui kwanini mna haraka hivi, huu msafara upo kwenye wrong side of the road, ni kawaida kuuondokea msafara wa kiongozi, lakini sio pale wanakuibukia kwa mbele huku wakivunja sheria na kanuni za barabarani.

Ahaa haa acha povu. Naona sindano inakuingia sana nikitaja maeneo ambayo wewe pengine huna hata ndoto ya kufika kama Dee Cee.
Back to the point.
The rule of thumb, siku zote ukiona executive wanapita na msafara, hilo eneo ni hatarishi... trust me. hata ukiwa nyumbani washauri hivyo watoto wako na mwingine yeyote. unless huyo aliyekuwa kwenye msafara alikuwa chief wa mtaani kwenu. Lkn angekuwa real executive, saa hii ingekuwa mambo mengine.
Kupita wrong site hiyo ni kawaida kabisa kwa hata wakati kina Bush na Obama walivyokwenda Tanzania miaka ile. Barabara ya Mandela ilifungwa lane zote. Hata ya Arusha to KIA ilfungwa yote. Sasa wewe ungejitokeza halafu useme niko kwenye right side.
 
Back
Top Bottom