Sabato Mukama
Member
- Mar 1, 2017
- 24
- 8
Daa
Safi sana
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nchi ya tanzania sheria hipo kama haipo.
nchi za wenzetu wanasheria zinazo wapa kujitambua na kuoji.
mfano s.afrika hata kama umekamatwa ndani ya gari la mtu ana madawa ya kulevya na wanamtaka yeye muhusika au wamehisi basi unaweza kuoji na kukuacha kama sio muhusika.
👍 👍Ingekuwa Tanzania, ungenyongwa
kuna nchi hapa duniani huyo mchochezi angekuwepo, saa hizi angeshakua na kesi ya uhujumu uchumi!
Duh, mkuu huna nchi nyingine ya kutolea mfano?? South Africa sio mfano wa kuigwa when it comes to crimes. Wakati mwingine tujikubali pamoja na mapungufu yote we are doing better.
ndo nilipo .hata kasoro na jifunza kupitia kwao.tembea na wewe ujifunze
compare like for like..Mama ngina(if you mean uhuru's mum) is a mum to a sitting president, mama nyerere is wife to a late former President, near zero threat to her security.A more appropriate comparison would be mama nyerere and moi's late wifeUlishauona msafara wa mama nginaa wewe? Maria Nyerere huwezi kumuona na escorts hata siku moja.
Msafara wa mama nginaa ni kama wa Rais
Kwanini umefikiri sijatembea mzee?
Wanafika kumiSasa Kenya mpaka jumbe ana king'ora lazima barabarani kuwe na vurugu mechi, Tanzania wenye escorts ni viongozi hawazidi watano nchi nzima.
Msafara wa kiongozi fulani ambaye hajatambulika bado, ulikiuka sheria za usalama barabarani na kuwataka madereva waupishe, huyu Mkenya hapa kwa kujitambua alisimamisha gari lake na kugoma kuliondoa.
Kuna nchi ambazo ukijaribu kitu kama hiki, lazima watu wasiojulikana wakuhusu.
Hehehe sycophancy itakumaliza. Leo unakarangwa na watanzania wenzako juu tu ya kusema uongo in the name of defending your politics. You should redeem yourself before calling yourself Redeemer.Ulishauona msafara wa mama nginaa wewe? Maria Nyerere huwezi kumuona na escorts hata siku moja.
Msafara wa mama nginaa ni kama wa Rais
Mkuu kwahiyo alichofanya ni sahihi na unamuona shujaa?Ingekuwa Tanzania, ungenyongwa
Mkuu kwahiyo alichofanya ni sahihi na unamuona shujaa?
Ahaa ha ha kuna siku niko Washington nika sikia ving'ora, mara nikaona msafara una magari kama matatu hivi na pikipiki mbili. Lkn nilichoona, madereva wengine walisimama kulia ili kupisha msafara. Msafara ulipopita waliendelea na safari zao. Kwa hiyo huyo mkenya sijui anaelewa maada ya executive ambao wanapaswa kupita kwa upesi kwa ajili ya usalama wao na kuwahi muda.
Upo sahihi ila kuheshimu mamlaka sehemu ulipo si vibaya,na kwa mazingira ya Africa ni ngumu sana hata huyo Magu unayemsema akiwa ziarani hapa Dsm njia huwa inafungwa hata Saa 6 na alichokifanya huyo jamaa ni hatari kwa maisha yakeUnapomzuia kiongozi anapovunja sheria, unakua upo sahihi....sheria zimetungwa ili tusiishi kama wanyama, pasiwe na uonevu wa aina yoyote ile, uwe unazo pesa, madaraka au nini.
Watu mumekandamizwa kiasi kwamba mumesahau hao waliopo kwenye madaraka mumewaajiri nyie, mishahara yao mnawalipa nyie kwenye kodi zenu. Akija anakubabaisha kwa mikwara hadi anaweza akambaka binti yako na umsujudie.
Kidogo huwa napenda jinsi Magufuli akienda mikoani anawaalika wananchi wa kawaida wanasema kero zao dhidi ya wakuu wa mikoa na wilaya tena mbele ya umati kwenye vipaza sauti.
Tazama video hadi uelewe ndio utuongopee mambo ya Washington ya Tandale, sijui kwanini mna haraka hivi, huu msafara upo kwenye wrong side of the road, ni kawaida kuuondokea msafara wa kiongozi, lakini sio pale wanakuibukia kwa mbele huku wakivunja sheria na kanuni za barabarani.