Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa cha mbwa kiko na stages 3, ya kwanza baada ya incubation period (3-8 weeks ila yaweza kuwa hata baada ya 10 days inategemea na site of bite).Haya chukueni hiyo" kwa kawaida mbwa mwenye kichaa cha mbwa akitaka kukushambulia au kukung'ata huwa haji moja kwa moja kukukabili daima huja kiupande upande
Kama hataki vile kumbe ndio anakuja vyooh😅
Hehe..maneno mengi ya nini si mtuoneshe hapa huyo rabid person anaebweka ka mbwa? hizi ni taaluma za watu tuwaachie aisee.Dude thinks he knows everything but he is a pile of shit.
Unasema kichaa cha mbwa kinatibika labda utueleza hiyo tiba uliigundua lini mkuu, rabies attacks the nervous system na kusababisha paralysis, unaweza vipi kubweka na umeparalyse? pia hiyo hydrophobia yako ni questionable, kuna tofauti kubwa kati ya kushindwa kumeza maji na kuyaogopa maji, rabid patient haogopi maji ila hawezi kunywa maji sababu katika late days za stage 2 paralysis inaanza so mechanism ya kumeza inaseize.Dude thinks he knows everything but he is a pile of shit.
Hey dude, I've seen one, it happens. And it's not typical barking but kunakua na some vocalization cause of laryngospasm. Ndio maana waswahili wakaita 'kichaa cha mbwa', sio kwamba wataalamu walikua wanajua inatokana na mng'ato from dogs only, nope! haikuja kwa bahati mbaya.Hehe..maneno mengi ya nini si mtuoneshe hapa huyo rabid person anaebweka ka mbwa? hizi ni taaluma za watu tuwaachie aisee.
Acha zako bhana, kichaa cha mbwa sababu kwa huku kwetu kwa sehemu kubwa kinasambazwa na mbwa, mbwa anakitoa kwa wild animals, ukikuta paka yuko na rabies katoa kwa mbwa, hao mapopo mnaowasena hapa wala Africa hawapo na hao ndo wanaoongoza Kwa kuambukiza America ya kusini (vampire bats).Hey dude, I've seen one, it happens. And it's not typical barking but kunakua na some vocalization cause of laryngospasm. Ndio maana waswahili wakaita 'kichaa cha mbwa', sio kwamba wataalamu walikua wanajua inatokana na mng'ato from dogs only, nope! haikuja kwa bahati mbaya.
Kichaa cha mbwa hakina tiba, ukizembea usipojipa huduma ya kwanza mapema huwezi kupona, osha jeraha na maji mengi na sabuni then nenda hospital pale unapoumwa na mbwa sababu sio kila mbwa anapokung'ata anakichaa lakini kwa watu wa kawaida ni ngumu kuelewa mbwa mwenye kichaa.Ni hatari wanasema mbwa mwenye kichaa akimuuma mtu kama hajatibiwa mapema atabweka na kutikisa mkia
Maelezo yako ya juu ni kama unajijibu mwenyewe.Acha zako bhana, kichaa cha mbwa sababu kwa huku kwetu kwa sehemu kubwa kinasambazwa na mbwa, mbwa anakitoa kwa wild animals, ukikuta paka yuko na rabies katoa kwa mbwa, hao mapopo mnaowasena hapa wala Africa hawapo na hao ndo wanaoongoza Kwa kuambukiza America ya kusini (vampire bats).
Hiyo vocalization ndo kubweka? au labda wengine hatujui maana ya kubweka, ungejua maana na impact ya laryngospasm wala tusingekuwa tunapishana hapa, so mfano wenye asthma wanabweka? au kokoroma ni sawa na kubweka?
Kijana una elimu lakini unaitumia kama silaha ku prove others wrong.. Huwezi kuwa sawa muda wote.Kichaa cha mbwa hakina tiba, ukizembea usipojipa huduma ya kwanza mapema huwezi kupona, osha jeraha na maji mengi na sabuni then nenda hospital pale unapoumwa na mbwa sababu sio kila mbwa anapokung'ata anakichaa lakini kwa watu wa kawaida ni ngumu kuelewa mbwa mwenye kichaa.
Virusi huenda kwenye tezi za mate nadhani siku mbili kabla ya signs kujionesha so hapo anaweza kuambukiza ka hajachanjwa.
Usijaribu Kama ni GF na bull dog ,utaumia hawa wakiwa wawili kimbia tuu aiseeAlafu ukiona mbwa anakuta usikimbie.
Okota hata jiwe chini au mti, umtishie huku ukimuonesha uko vizuri.
Unaweza ukawa sahihi lakini pia hao wanaosema anabweka kama mbwa wakawa sahihi pia, tofauti yenu ni moja tu wewe unawaza mtu anakuwa anabweka kama mbwa kabisaaa huku wale wanaosema anabweka kama mbwa wakimaanisha anakuwa ana dalili za kwikwi si kwikwi ili mradi (waswahili wakaita anabweka hasa ukizingatia tayari ugonjwa inaitwa kichaa cha mbwa)Acha zako bhana, kichaa cha mbwa sababu kwa huku kwetu kwa sehemu kubwa kinasambazwa na mbwa, mbwa anakitoa kwa wild animals, ukikuta paka yuko na rabies katoa kwa mbwa, hao mapopo mnaowasena hapa wala Africa hawapo na hao ndo wanaoongoza Kwa kuambukiza America ya kusini (vampire bats).
Hiyo vocalization ndo kubweka? au labda wengine hatujui maana ya kubweka, ungejua maana na impact ya laryngospasm wala tusingekuwa tunapishana hapa, so mfano wenye asthma wanabweka? au kokoroma ni sawa na kubweka?
Rabbies ikishakuwa ugonjwa haina tiba mkuu; na ni nadra sana kupona. Ni muhimu sana ukiumwa na mbwa au mnyama ye yote ambaye huna uhakika kama ana chanjo kuwahi hospitalini ili kupigwa sindano kuua vijidudu kabla havijaenea na kufika kwenye ubongo. Ukichelewa ni kuRIP tu hakuna njia nyingine.Rabies inatabika ila ikishakuwa chronic ni changamoto sana.
View: https://youtu.be/XMvIQexojWo?si=KqoV8KWbaeZDTvA5
Rabies ni virus inayosababishwa mara nyingi na kung'atwa na mbwa, popo, mbwa mwitu, etc
Ndio maana wanashauri mbwa kupewa chanjo mara kwa mara kuziua madhara ya kuwa infected na virus tofauti.
Moja ya madhara ya rabies ni mgonjwa kuwa na hofu ya kunywa maji. Hii ni kwa sababu Rabies huathiri sehemu za ubongo ambazo hudhibiti kuzungumza, kumeza, na kupumua.
Inabadilisha mchakato wa uzalishaji wa mate na husababisha spasms za misuli chungu ambazo zinakatisha tamaa kumeza. Virusi hii hustawi katika mate. Kumeza hupunguza kuenea.
Kwa hiyo, mara moja hufanya kazi ya kumfanya mwathirika wake kuzalisha mate zaidi na kueneza mate hayo kwenye mazingira yake badala ya kumeza.
Rabies inatabika ila ikishakuwa chronic ni changamoto sana.
Ndio maana ukishang'twa na mbwa au popo kimbilia hospitali.
TAKE CARE.