Boss kama upo dsm na mizunguko yako unatumia usafiri wa Umma usijali siku utakutana na hizo pafum za Buza.Kwakweli sijawahi kusikia nisiwe mnafiki.
Unakuta mwanume anakwambia demu fulani ananuka chupi,unaanza kuwaza huyu jamaa pua yake ikoje,mbona mimi naskia kawaida tu,either harufu ya jasho ama perfume mbaya.
Mkuu utueleze pua zako zinafuata nini kwenye vichwa wa watu[emoji1][emoji1]
njoo na ID yako ya Zaman
Wanawake hatuwezi kubadilika kisa nyie hamtaki Jambo flani, ndio maana tukawa wanawake, by the way wanaume wanaoumizwa na Mambo ya wanawake kinachowasumbua ni kukosa hela tuHaina shida dada mzuri ila naimani wahusika watabadilika wakishapata jumbe.....
Bora umwambie, hawa sijui ni wanaume wenye shida gani?Na ww Unatia aibu sana kumsema mwanamke bila sababu za msingi