Duh! Kuna wanawake mnatia aibu jamani

Duh! Kuna wanawake mnatia aibu jamani

Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu.

Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi bonge la msimu hayo marashi ya kienyeji harufu yake inavyotoka hapo sasa.

Jamani hayo mawigi kama yanafulika yafueni basi kama kubadilisha imekuwa ngumu, leo almanusra nitapike kwenye daladala.

Wapo watakao sema ninunue Gari langu, hayo ni majaliwa,ila ukweli lazma usemwe, kinadada Usafi unawashinda aisee.
Wakivaa wanakuwa Kama mbuzi meeee[emoji23][emoji23]
 
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu.

Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi bonge la msimu hayo marashi ya kienyeji harufu yake inavyotoka hapo sasa.

Jamani hayo mawigi kama yanafulika yafueni basi kama kubadilisha imekuwa ngumu, leo almanusra nitapike kwenye daladala.

Wapo watakao sema ninunue Gari langu, hayo ni majaliwa,ila ukweli lazma usemwe, kinadada Usafi unawashinda aisee.
Unakuta suruali zake na tight zote zimetoboka kwa kusuguliwa na mapaja
 
Hao wa kwenu huko darisalama hawana hata radha ya uanauke walivyoungua na jua

Back
Top Bottom