Duh! Kuna wanawake mnatia aibu jamani

Mkuu ulipanda ile ruti ya Tegeta kwa Nyuki au ya Goba kwa Kitambi....?
 
Mkuu mi Kuna dada mmoja nilimuona mzuri kinyama nilivyopanda gar nikasema nikakae karibu yake nichukue baraka,,, dah Kuna haruf flan hiv nkaanza kuiskia kwakwel siyo nzuri inawezekana ikawa hilohilo wig unalosema wewe japokua mm sikugundua haruf ni ya nn ile alaf kachanganya na perfume dah ndo kaharibu kabisa
 
Alafu unakuta wigi linamuwasha anaishia kujipiga-piga makonzi kichwani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
 
Na ukioa ukiona mkeo usaf unampa shida,,mwambie t anyoe mapeeema
 
Kwanini Mambo ya wanawake yakuumize huna Mambo yako ya kufanya?
@cariha: Wewe ni mtu wa mapambano..mpenda ligi ..mpenda kubattle. Lazima upinge, ubishane na uone Kama unaonewa. Yaaani playing a Victim BADILIKA...Tena kwa manufaa yako na yakizazi kijacho.
 
@cariha: Wewe ni mtu wa mapambano..mpenda ligi ..mpenda kubattle. Lazima upinge, ubishane na uone Kama unaonewa. Yaaani playing a Victim BADILIKA...Tena kwa manufaa yako na yakizazi kijacho.
Hahaaa that's me ndio maana nikajiita hivi na sikuwa wewe, pia JF ni jukwa huru na kila mtu na opinion zake ka zilizo zako naziheshimu, pia si play victim naandika kina chofuraisha nafsi yangu na sihitaji kuplay victim au nionekane mzuri never on my mind. Mimi sibadiliki naishi nitakavyo even if the whole world would be against me I don't care
 
All the best.
 
Hakika Mtu ananukaa kam toilet duuh omba usikutane nao😎
 
Hayo mawigi ni shida tupu.Itabidi Wanaume tukae kikao tujadili hili suala.
 
Bro mengine kausha,ata ww kunawaliowahi kukuskia unanuka Ila wakakausha,na km bado ipo siku utanuka...
Usimseme Mwenzio vibaya ikiwa humjui kiundani...
Kwa hili uliloleta, linaeleza tabia zako nyingi sana
Hujaelewa,amesema mawigi wanavaa mpk yananuka na hii kweli, last year nilikuwa evening walk na wife,tukasimamishwa na mdada alipotea njia tumuelekeze,amevaa wigi zuri kwa muonekano..lkn alivyoondoka alituachia harufu Kali mpk nkatukana kimoyomoyo( Ila nkakausha).. Baada ya 2 mins,wife akasema nusura atapike sabab ya wigi lake...
 
Umeumia sana, Unajishaua tu.
Sindano imepenya penyewe. Katikati ya ikweta
Siwezi umizwa na wapumbavu wa mtandaoni wewe utakuwa mgeni humu JF nini? Yanijinga na mpumbavu aniumize over my deadbody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…