Duh! NAS katika 40 kama 28. Au macho yangu?

Duh! NAS katika 40 kama 28. Au macho yangu?

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
Nimemcheki Jamaa katika Instagram na katika Sites zingine. Nimefurahi kwa sababu ni moja ya Ma-MC wa HipHop ninaowakubali zaidi, amezidi kumaintain U-hardcore licha ya kuwa soko la sasa la marekani halikubali.

Vijana wa bongo tukifikisha 40,aisee ni noumaa. Kama vile ndo tumeshazeeka kabisa. Ni machache tu, maana nisije akaandika gazeti.

HBDAY NAS ESCOBAR.

*Vijana tuache Ngono Zembe na Pombe Zembe.
 
Kwani Pombe zembe na Ngono Vinakufanya uzeeke?
 
Sizani kama ni kweli mkuu, Cha msingi unapotumia Pombe na wanawake kwa sana, Inabidi chakula kwa sana na sio chakula tu bali uwe ni mlo kamili.
ndio maana ake tumia hivi vitu kizembe uone mwisho wako utakavyokuwa.
 
Nas happy birthday to you! Napenda sana wimbo wake wa if i ruled the wold.
 
Nas happy birthday to you! Napenda sana wimbo wake wa if i ruled the wold.

i like this verse

The way to be, paradise like relaxing black, latino and anglo-saxon
Armani exchange the reins
Cash, Lost Tribe of Shabazz, free at last
Brand new whips to crash then we laugh in the iller path
The Villa house is for the crew, how we do
Trees for breakfast, dime sexes and Benz stretches
So many years of depression make me vision
The better living, type of place to raise kids in
Open they eyes to the lies history's told foul
But I'm as wise as the old owl, plus the Gold Child
Seeing things like I was controlling, click rolling
Tricking six digits on kicks and still holding
Trips to Paris, I civilized every savage
Gimme one shot I turn trife life to lavish
Political prisoner set free, stress free
No work release purple M3's and jet skis
Feel the wind breeze in West Indies
I make Coretta Scott-King mayor the cities and reverse themes to Willies
It sounds foul but every girl I meet to go downtown
I'd open every cell in Attica send em to Africa
 
Nimemcheki Jamaa katika Instagram na katika Sites zingine. Nimefurahi kwa sababu ni moja ya Ma-MC wa HipHop ninaowakubali zaidi, amezidi kumaintain U-hardcore licha ya kuwa soko la sasa la marekani halikubali.

Vijana wa bongo tukifikisha 40,aisee ni noumaa. Kama vile ndo tumeshazeeka kabisa. Ni machache tu, maana nisije akaandika gazeti.

HBDAY NAS ESCOBAR.

*Vijana tuache Ngono Zembe na Pombe Zembe.
Nas ana miaka 45, Jayz 49,P Didy 49 !!!!!!!! Waangalie usoni !!!
Ukiutunza mwili nao utakutunza baadaye!!! Unaweza kuwa una hela lakini bado ukaonekana mzee kama hufuati kanuni za afya. Vilevile unaweza usiwe na hela na ukaonekana kijana kama ukiutunza mwili wako vizuri!!!!
Umewahi kulinganisha muonekano vijana wa Tanzania wa miaka ya 1970s mpaka 1985s na vijana wa 1986s mpaka 2000s???
Umejiuliza kwa nini hawa wa 1985s mpaka 2000s wanawakaribia hata kuzidiwa na wa 1970s mpaka 1985s???
 
Back
Top Bottom