Duh! Norway ambayo inaongoza kwenye kusaidia Tanzania kwa misaada yawapigia makelele

Wanaohangaika na hali za wengine kati ya ninyi outsiders na Tanzanians ni nani sasa, sababu sijaelewa thank you.
Hypocrite mkubwa ni wewe kila siku unaweka pua lako chafu linanuka kwa mambo ya ndani Kenya yasiokuhusu.
 

Bro, now can start connecting and linking the dots. I was trusting the Norwegians, but this issue and the other one I came across with, they make me to look at them very carefully.
 
Safi kabisa REDEEMER kwa mchango wako makini,kwa kweli Wapinzani watazoza sana ila cc tutaenda tu JPM ndiye chaguo letu
Yaani 2020 itakuwa hivi;CHAGUA MAGUFULI KAZI IENDELEE
 


 
Bro, now can start connecting and linking the dots. I was trusting the Norwegians, but this issue and the other one I came across with, they make me to look at them very carefully.
Ni kweli kabisa nchi za Nordic and especially the three Scandinavians zilikuwa na uhusiano mzuri sana na Baba wa Taifa na hata siasa zao hazikuwa za kibepari sana, zilikuwa zinaendana sana na ujamaa ndio maana zilikua na mahusiano mazuri sana na Tanzania ila saivi yote mabepari tu hawana tofauti na Wamarekani kabisa.
 

Kuna kampuni yao fulani ilipata kadhia miaka iliyopita. Nadhani haipo tena ilifutwa.
 
Kuna kampuni yao fulani ilipata kadhia miaka iliyopita. Nadhani haipo tena ilifutwa.
Utakua unaizungumzia hii statoil inaitwa saivi Equinor baada ya kuibadili jina au kama sio ni ile British Gas iliyoiuzia Shell ya Dutch, sababu nayo hii wamekubali mziki wa JPM wajerumani hawa,

SSi unakumbuka na wenyewe walitaka kuiwekea vikwazo Tanzania kuhusu ujenzi wa Rufiji kule mpaka wakawa wanaijadili Bungeni kwao lakini wapi, mpaka wakamtuma waziri wa kimataifa aje kuonana na JPM πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na wenyewe walipigwa chenga ya mwili, JPM akaenda zake Moro kupiga show na wananchi akamuachia Mahiga

UUnajua waziri huko kwao ni mtu mkubwa sana na hasa huyu waziri wa mambo ya nje protocolly anatakiwa hata aonane na Rais lakini alishuka Dar siku ya pili akaenda Arusha, akarudi Dar JPM yeye bado yupo Moro ikabidi asepe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

AAkarudi Germany kwa mama makeli kumuambia kule mambo magumu mama makeli ikabidi amvutie JPM waya kwamba tunaomba basi hiyo gas isitudodee hapo wacha tujenge kiwanda kikubwa cha mbolea Africa

JJPM akasema hayo ndio maneno, lakini ni baada ya kufanya figisu kibao kukwamisha mradi wa umeme Rufiji ili tu kwa nia zao ovu.
 

Duu kweli JPM atakumbukwa kwa mengi kuhusu kuiokoa nchi.
It's good to have a true son of Afrika in days of our life.
 
Kazi ya Zitto Kabwe kuchongea Taifa kwa mabeberu imeanza kuzaa matunda
Acha kutafutana uchawi ndugu yangu. Hao wanaoitwa mabeberu, wote wanazo ofisi za ubalozi hapa nchini na wanajua vitu vingi kuhusu nchi yetu kuliko Watanzania wengi, ikiwamo wewe.

Vv
 
Hivi nyie watu mnaishi sayari gani? Kwani watu hawaoni wao wenyewe kinachofanyika hadi Zitto awaambie? Are you really that dumb?
Hao jamaa wanaimshutumu Zitto ni wapuuzi sana, hawataki kushirikisha akili zao kwenye mambo yanayohusu nchi yao, ni kama vuvuzela ambalo halina amri ya kuchagua wimbo bali mpulizaji.

Vv
 
Katika hili Magufuli anapaswa kusikiliza, kwakweli upande huu Magufuli anaonyesha mapungufu makubwa ya kiuongozi. Hongereni sana Norway, UK na USA kwa kuliona hilo.
Fake news! Baada ya muda mtanyooka tu. Hizi habari kila mara mnaleta lakini bado tunapiga kazi tu. Hapa kazi tu.
 
Acha kutafutana uchawi ndugu yangu. Hao wanaoitwa mabeberu, wote wanazo ofisi za ubalozi hapa nchini na wanajua vitu vingi kuhusu nchi yetu kuliko Watanzania wengi, ikiwamo wewe.

Vv
Haya subirini 2020 watapiga kura hao wazungu.
 
Duu kweli JPM atakumbukwa kwa mengi kuhusu kuiokoa nchi.
It's good to have a true son of Afrika in days of our life.
Sure, yule mzee anafight battles nyingi sana ila mapoyoyo hawajui tu, rasilimali zetu nyingi zilizokua tayari mikononi mwa haya mabeberu kwa favor tu ya 10% viongozi wetu walivyozuzuka nayo JPM karudisha almost all of them

Mchuchuma na Liganga nayo (pale kuna utajiri wa Chuma na Coal ambayo inatosha kuhudumia matumizi yote ya dunia nzima kwa mwaka 1) na yenyewe hii ilikuwa tayari imeshapigwa kata funua lakini JPM kafight kichizi na yenyewe imerudi.

HALAFU movements zote hizi ni viongozi wakubwa wa kiserikali ndio wanaengineer, unaona mama makel anampiga simu magufuli kuhusu kiwanda cha mbolea lakini wenyewe wanatuambia haipaswi serikali kujihusisha na biashara, kumbe wana secret agenda

Barrick na Acacia ni mali ya Bush ile na kina queen Elizabeth wote wezi, kwa hiyo hapo unaona ni namna gani JPM anapigana na watu wakubwa duniani ndio maana utasikia anasema mniombee ooh nimejitoa sadaka ooh mambo ya Libya etc mzee anajua kipi anafanya

Aongezewe tu ulinzi
 
Hivi mgodi wa Kiwira ni wa nani boss?
 
Hivi mgodi wa Kiwira ni wa nani boss?
Kiwira na Kabulo inamilikiwa na serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ulifikiri ni wa Ben? Tena saivi unazalisha ile mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…