Duh! Norway ambayo inaongoza kwenye kusaidia Tanzania kwa misaada yawapigia makelele

Kiwira na Kabulo inamilikiwa na serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ulifikiri ni wa Ben? Tena saivi unazalisha ile mbaya.

Mgodi wa Kiwira mlishamnyang'anya Mkapa kumbe! Sikuwahi kujua hilo.
 

Nyumba za serikali ziligawanywa hadi Kwa vimada zipo wapi?
 
Kinachoumiza zaidi ni kuwa mgodi huo umeajiri wasouth wengi na kibaya zaidi pesa inayotokana na mgodi huo inaenda kuwekwa bank za uswiz
Jamaa anajifanya haelewi ni mali ya nani ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…