Nyinyi msharudi nyumbani sijui tuwatumie bombadia iwabebe ama mje tu kwa mguu, bure kabisa.Akili zenu ni kuwa Senegali ni kama Taifa Stars
Hebu kuwa na huruma kidogo. Utani mwingine si mzuri kabisa...Hii hatari kwa kweli yaani, mpokee kipigo cha Senegal, mje mcharazwe na Kenya, huku bado mnauguza maumivu mnapangwa dhidi ya Algeria, ambao mna historia mbaya sana nao, poleni sana majirani, nashindwa hata kuwaza mnachohisi.
Hapo Bongo wanangu/washkaji hawataki hata kunijibu kwenye Whatsapp......
Bongo kumewaka moto. Kila mtu anachagua upande wa kushabikia kati ya Makonda na Ndugai...Bro sio utani, najarbu kuwaza Bashite na hao vijana watapokelewa vipi Bongo...
Bongo kumewaka moto. Kila mtu anachagua upande wa kushabikia kati ya Makonda na Ndugai...
Hahahaa, hapo ni mpambano wa Mr Zero VS Mr Dhaifu... Yetu macho! 😳 😳 😳Hatari sana, huyo dogo wa Kolominje hupenda kutibua mambo halafu mkulu humkingia kifua sana, sasa sijui kwa hili la Ndugai itaisha vipi, watapigiwa simu wote wawili waufyate na kuendelea na juhudi.
😂😂Nyinyi msharudi nyumbani sijui tuwatumie bombadia iwabebe ama mje tu kwa mguu, bure kabisa.
Watanzania tumeamua kuwazalisha mabinti wa kikenya tu hayo ya mpira sisi hatuna hajanayo. Baada ya miaka 10 kenya itakuwa ni mtoto wa Tanzania.
Nyinyi msharudi nyumbani sijui tuwatumie bombadia iwabebe ama mje tu kwa mguu, bure kabisa.