Duh! Tanzania sasa kucheza na Algeria, wale waarabu waliowahi kuwapiga mabao saba

Duh! Tanzania sasa kucheza na Algeria, wale waarabu waliowahi kuwapiga mabao saba

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii hatari kwa kweli yaani, mpokee kipigo cha Senegal, mje mcharazwe na Kenya, huku bado mnauguza maumivu mnapangwa dhidi ya Algeria, ambao mna historia mbaya sana nao, poleni sana majirani, nashindwa hata kuwaza mnachohisi.
Hapo Bongo wanangu/washkaji hawataki hata kunijibu kwenye Whatsapp......
 
Hebu kuwa na huruma kidogo. Utani mwingine si mzuri kabisa...
 
Waache wapigwe tu.
Eeenh hakuna namna.

Mambo yatabadilika tukowa na youth teams kwa kila club ya premier league na first division league.

Juu ya hizi youth teams kuwe na league zao za kitaifa kama za wakubwa.

Uyanga na Usimba uondolewe TFF na timu za taifa. Hii itaondoa tatizo la kuzibeba hizi kitu ambacho kinasababisha wachezaji wake waridhike watashinda tu bila kujituma mazoezini na kupandisha viwango vyao.

Hii kubebana ndio imesababisha wachezaji hawana stamina, physique au match fitness. Ni vile Harambee waliwakimbiza sana kipindi cha pili huku beki na kiungo wa Taifa star wakishindwa kuwekeana nao msuli. Uliona pia Senegal waliwazidi stars nguvu na ufundi.

Huo Uyanga Usimba ndio unasababisha ligi kuu inavirugwa ratiba ya ligi kuu ovyo kuzipa upendeleo hizo timu zishinde kirahisi.

Serikali haitaki kuwekeza ktk michezo nalo tatizo. Fedha za kuwapa wakati wakifuzu mashindano flani tu haziwezi kubadili kiwango chetu.
 
Bongo kumewaka moto. Kila mtu anachagua upande wa kushabikia kati ya Makonda na Ndugai...

Hatari sana, huyo dogo wa Kolominje hupenda kutibua mambo halafu mkulu humkingia kifua sana, sasa sijui kwa hili la Ndugai itaisha vipi, watapigiwa simu wote wawili waufyate na kuendelea na juhudi.
 
Hatari sana, huyo dogo wa Kolominje hupenda kutibua mambo halafu mkulu humkingia kifua sana, sasa sijui kwa hili la Ndugai itaisha vipi, watapigiwa simu wote wawili waufyate na kuendelea na juhudi.
Hahahaa, hapo ni mpambano wa Mr Zero VS Mr Dhaifu... Yetu macho! 😳 😳 😳
 
To be fair viwango vyetu havikutofautiana sana.

Harambee stars nao bado sana.
 
Watanzania tumeamua kuwazalisha mabinti wa kikenya tu hayo ya mpira sisi hatuna hajanayo. Baada ya miaka 10 kenya itakuwa ni mtoto wa Tanzania.
 
It has clearly been a difficult week to be a Tanzanian
 
Watanzania tumeamua kuwazalisha mabinti wa kikenya tu hayo ya mpira sisi hatuna hajanayo. Baada ya miaka 10 kenya itakuwa ni mtoto wa Tanzania.
1140952
 
Alichosema Ndugai ni kweli ile timu msosi shida
 
Waache wacharazwe.hakuna aliyewatuma huko misri,kipaumbele chetu ni viwanda & midege na sio soka
 
Back
Top Bottom