Deni la more than 10 trillion Kenyan Shillings kubwa kuliko bajeti ya East and Central Africa combined, hapa itabidi omba omba wa Tanzania kuwa main export to KENYA.
Usidanganye weweNimetembea more than 15 countries in Africa and beyond that but I have never meet people who are in severe poverty than Kenyans!
Tunapozungumzia The richnes of a certain country should directly corresponds with living stards of it's people.
Wakenya msidanganywe kuwa na barabara nzuri, railways, Airways ni kufanikiwa but inatakiwa hizo potential zote ziwaguse wananchi tena mmojammoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganye wewe
duh! kumbeNimeona twitter ya Zitto Kabwe katiririka kweli, nashangaa mnaokesha huku mkiisema Kenya, halafu mambo kama haya ndio husababisha ndege inachukuliwa na wenyewe
Mfano wa madeni ya kesi hizo ni:
1. Eco Energy Bagamoyo - $500m (Sawa na Shilingi 1.11 Trilioni)
3. Symbion $600m (Sawa na Shilingi 1.33 Trilioni)
4. Standard Chartered Bank HongKong (SCBHK) - $700m (Sawa na Shilingi 1.5 Trilioni)
5. Acacia $2bn - (Sawa na Shilingi 4.46 Trilioni)
haha ni taabu sana kua na jirani mkabila na mlafi anaejijali mwenyewe tu na kakundi kadogo kakabila lake teh halafu sosi zito kabwela noma saaanaNi hatari sana kuwa na jirani mwenye madeni yote kama haya maana atazidi kutuchelewesha kwa kuwajaza omba omba kwetu.
Wewe na roho zenu mbaya mnaweza kujali nyinyi hata hatujawaomba jalini hao washindia githeri wenzenu badala ya kupiga kelele tu huku watu wanapigika hukoUnataka tuwajali nyie wakati uzembe wenu umewashinda hadi nchi inaliwa yote.
Toa upuuzi wako hapa!Write your reply...our country Tanzania is the next greece @,the country is totally indebt crisis# we need regeme changes
Vibaraka msio na Ardhi!Tungekua wabaya hamngewajaza hawa Watanganyika ombaomba huku