Duh! Watanzania madeni yote haya ya kesi na bado mnaisema Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nimeona twitter ya Zitto Kabwe katiririka kweli, nashangaa mnaokesha huku mkiisema Kenya, halafu mambo kama haya ndio husababisha ndege inachukuliwa na wenyewe

Mfano wa madeni ya kesi hizo ni:
1. Eco Energy Bagamoyo - $500m (Sawa na Shilingi 1.11 Trilioni)
3. Symbion $600m (Sawa na Shilingi 1.33 Trilioni)
4. Standard Chartered Bank HongKong (SCBHK) - $700m (Sawa na Shilingi 1.5 Trilioni)
5. Acacia $2bn - (Sawa na Shilingi 4.46 Trilioni)

Deni la more than 10 trillion Kenyan Shillings kubwa kuliko bajeti ya East and Central Africa combined, hapa itabidi omba omba wa Tanzania kuwa main export to KENYA.
 
Bado hizo si taarifa za kutosha kufikia kukata kauli kuwa nchi inadaiwa SANA au la. We need more information than THIS.
 
Write your reply...our country Tanzania is the next greece @,the country is totally indebt crisis# we need regeme changes
 
Write your reply...magufuli is direct us on big trouble the same as Zim
 
Nimetembea more than 15 countries in Africa and beyond that but I have never meet people who are in severe poverty than Kenyans!

Tunapozungumzia The richnes of a certain country should directly corresponds with living stards of it's people.

Wakenya msidanganywe kuwa na barabara nzuri, railways, Airways ni kufanikiwa but inatakiwa hizo potential zote ziwaguse wananchi tena mmojammoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye wewe
 
Teh wazee wa failed state wanajipa moyo huku

Ni hatari sana kuwa na jirani mwenye madeni yote kama haya maana atazidi kutuchelewesha kwa kuwajaza omba omba kwetu.
 
Sasa ntalipa nyinyi we nenda kashike jembe ukalime katafute ada ya watoto..
 
Nimeona twitter ya Zitto Kabwe katiririka kweli, nashangaa mnaokesha huku mkiisema Kenya, halafu mambo kama haya ndio husababisha ndege inachukuliwa na wenyewe

Mfano wa madeni ya kesi hizo ni:
1. Eco Energy Bagamoyo - $500m (Sawa na Shilingi 1.11 Trilioni)
3. Symbion $600m (Sawa na Shilingi 1.33 Trilioni)
4. Standard Chartered Bank HongKong (SCBHK) - $700m (Sawa na Shilingi 1.5 Trilioni)
5. Acacia $2bn - (Sawa na Shilingi 4.46 Trilioni)

duh! kumbe
 
Ni hatari sana kuwa na jirani mwenye madeni yote kama haya maana atazidi kutuchelewesha kwa kuwajaza omba omba kwetu.
haha ni taabu sana kua na jirani mkabila na mlafi anaejijali mwenyewe tu na kakundi kadogo kakabila lake teh halafu sosi zito kabwela noma saaana
 
Unataka tuwajali nyie wakati uzembe wenu umewashinda hadi nchi inaliwa yote.
 
Wewe na roho zenu mbaya mnaweza kujali nyinyi hata hatujawaomba jalini hao washindia githeri wenzenu badala ya kupiga kelele tu huku watu wanapigika huko
 
Tungekua wabaya hamngewajaza hawa Watanganyika ombaomba huku

Back
Top Bottom