Duka gani hapa Dar wanauza pete original

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.

Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam.

Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya pete kati ya hayo madini niliyoyaweka hapo juu itamfaa huyu mtoto.

Ahsanteni sana.
 
Mtoto mwenyewe ni original?! Maaanake siku hizi wamekuwa feki feki...makalio feki,kucha feki,nywele feki, tabia feki,moyo feki....kama huna uhakika visha pete feki tuu banaaa
 
Nenda ley jewelry utapata chaguo unalotaka wewe
 
Sheria mpya ya ndoa.

1)Wanandoa watarajiwa watapimwa HIV kabla ya ndoa

2)wanandoa watapimwa HIV kila baada ya miezi 3 wakiwa kwenye ndoa

3)....
 
Mtoto mwenyewe ni original?! Maaanake siku hizi wamekuwa feki feki...makalio feki,kucha feki,nywele feki, tabia feki,moyo feki....kama huna uhakika visha pete feki tuu banaaa
Hahaahaa, huyu ni kuku wa kienyeji mkuu.
 
Duuu kuna watu wana bahati jamaniii loool .... yaani ushajazwa halafu unavalishwa pete ya milioni mbili???? Khaaaa!
 
Nenda posta mtaa wa indiaghandi kuna masonara pale Tanzanite inaanza na 1m stone inavozid kuwa kubwa na thaman inaongezeka.. gram moja ya gold= 160k kazi kwako. Imenitoka 2.5m last week ya pete ya engagement tanzanite stone
 
IMG_9186.jpg

IMG_9181.jpg
Mcheki uyo jamaa yakub yuko vzr sana anakupa na certificate kabisa ana vitu vzr sana
 
Back
Top Bottom