Duka gani hapa Dar wanauza pete original

Duka gani hapa Dar wanauza pete original

Bajeti yako maximum iwe mil 2 pete ianzie laki 5 your not serious na pesa buda hii ni chai
 
Tena kimasihara

Swali kwa mleta mada, Je huyo manzi ulimkuata Bikra?
Oya kuna mitumba iko powa sana
Kwakila idala
Siyo mbaka chombo uki toe kala tasi
Oya tunao penda mitumba tupoo
 
Back
Top Bottom