Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Picha ya huyo mtoto ipo wapi.Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.
Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam.
Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya pete kati ya hayo madini niliyoyaweka hapo juu itamfaa huyu mtoto.
Ahsanteni sana.
Weka kwanza picha ya demu wako ili tupendekeze aina ya Pete isije kuwa demu wa kikurya