The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nenda ley jewelry utapata chaguo unalotaka weweKuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.
Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam.
Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya pete kati ya hayo madini niliyoyaweka hapo juu itamfaa huyu mtoto.
Ahsanteni sana.
aisee!Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M
Mkuu mtoto ana hadhi, ana viwango vya kimataifa kiongozi.Baharia ushawezwa Pete ya laki tano mbona wapo Masai apo Kariakoo wanauza Pete ata buku tatu unapata
Hahaahaa, huyu ni kuku wa kienyeji mkuu.Mtoto mwenyewe ni original?! Maaanake siku hizi wamekuwa feki feki...makalio feki,kucha feki,nywele feki, tabia feki,moyo feki....kama huna uhakika visha pete feki tuu banaaa
πππ Of course sir.Mad down i repeat man down
Iko wapi? Wana page kwenye social media?Nenda ley jewelry utapata chaguo unalotaka wewe
Ley jewelry yupo city mall
Sawa mkuu.Dondoo
Punguza matumizi yasiyo na maana
Save hela
Nenda posta mtaa wa indiaghandi kuna masonara pale Tanzanite inaanza na 1m stone inavozid kuwa kubwa na thaman inaongezeka.. gram moja ya gold= 160k kazi kwako. Imenitoka 2.5m last week ya pete ya engagement tanzanite stone