Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Picha ya huyo mtoto ipo wapi.Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.
Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam.
Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya pete kati ya hayo madini niliyoyaweka hapo juu itamfaa huyu mtoto.
Ahsanteni sana.
Kaleta nani sheria hiiSheria mpya ya ndoa.
1)Wanandoa watarajiwa watapimwa HIV kabla ya ndoa
2)wanandoa watapimwa HIV kila baada ya miezi 3 wakiwa kwenye ndoa
3)....
Kwamba pete inapendekezwa kutokana na kabila la mtu?Picha ya huyo mtoto ipo wapi.
Weka kwanza picha ya demu wako ili tupendekeze aina ya Pete isije kuwa demu wa kikurya
Hapa namaanisha sura ya mwanamke wa kikurya, au huwajui wadada wa kikurya wale wenye sura ya kuuliza moto 😀Kwamba pete inapendekezwa kutokana na kabila la mtu?
Mkuu achana na generalisation syndrome. Generalisation ni ishara ya matatizo ya akili.Hapa namaanisha sura ya mwanamke wa kikurya, au huwajui wadada wa kikurya wale wenye sura ya kuuliza moto 😀
Hahahaa nilijua tu utasema hivyo ila punguza mihemko ya kutaka ushauri kisa una demu wa kumnunulia pete, wenye dalili za matatizo ya akili ni wengi hapa ukiwemo na wewe 😁Mkuu achana na generalisation syndrome. Generalisation ni ishara ya matatizo ya akili.
Nasikia uvaaji wa pete unaendana na Nyota...je ni Kweli?View attachment 1694088
View attachment 1694089Mcheki uyo jamaa yakub yuko vzr sana anakupa na certificate kabisa ana vitu vzr sana
Sheria mpya ya ndoa.
1)Wanandoa watarajiwa watapimwa HIV kabla ya ndoa
2)wanandoa watapimwa HIV kila baada ya miezi 3 wakiwa kwenye ndoa
3)....
The beauty of the one is in the eyes of the beholder. So saying that your woman has international standards that is according to what your eyes see,if I am asked about my wife ,I can say she has intercontinental standards but this is due to how I judge her.Mkuu mtoto ana hadhi, ana viwango vya kimataifa kiongozi.
View attachment 1694088
View attachment 1694089Mcheki uyo jamaa yakub yuko vzr sana anakupa na certificate kabisa ana vitu vzr sana
Certificate inaingiaje hapo, au ndo imekuzuzua!
Tena kimasiharaUnagharamikia hivyo ,afu wahuni wanakuja kumgonga for free of charge.
Iko wapi? Wana page kwenye social media?