Duka la chakula cha samaki na nguruwe kutoka Netherlands

Duka la chakula cha samaki na nguruwe kutoka Netherlands

Monetary doctor

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
3,711
Reaction score
6,762
Habari za wakati huu wakuu,

Napenda kuwataarifu kuwa wafugaji wa samaki aina ya Tilapia pamoja na wafugaji wa nguruwe tuna vyakula hivi dukani kwetu.

Chakula Cha samaki vipo kwenye makundi tofaut tofaut kulingana na siku ya kutotolewa, wakati wa ukuaji wa mwanzo, ukuaji wenyewe, na mwishoni mwa ukuaji.

Vyakula vyetu ni kutoka nchini Netherlands

Makundi ya vyakula vya samaki ni kama ifuatavyo,

  • Tuna powder

  • Tuna C1 &2

  • Tuna mml 1, 2,3,4, kwa ajili ya samaki ...... vyote kwa pamoja vina ujazo wa kg 20


Tuna Koudijs Animal concentration (Pig) chenye starter, grower, pamoja na finisher! Kina ujazo wa kg 50.


Tuna patikana Kigamboni Machava, Dar es salaam,

Namba ya simu ni 0741076097.
 
Back
Top Bottom