Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Habari za wakati huu wakuu,
Napenda kuwataarifu kuwa wafugaji wa samaki aina ya Tilapia pamoja na wafugaji wa nguruwe tuna vyakula hivi dukani kwetu.
Chakula Cha samaki vipo kwenye makundi tofaut tofaut kulingana na siku ya kutotolewa, wakati wa ukuaji wa mwanzo, ukuaji wenyewe, na mwishoni mwa ukuaji.
Vyakula vyetu ni kutoka nchini Netherlands
Makundi ya vyakula vya samaki ni kama ifuatavyo,
Tuna Koudijs Animal concentration (Pig) chenye starter, grower, pamoja na finisher! Kina ujazo wa kg 50.
Tuna patikana Kigamboni Machava, Dar es salaam,
Namba ya simu ni 0741076097.

- Tuna powder
- Tuna C1 &2
- Tuna mml 1, 2,3,4, kwa ajili ya samaki ...... vyote kwa pamoja vina ujazo wa kg 20