Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la dawa muhimu alihitaji cheti cha mfamasia kwasababu dawa zinazouzwa kwny hili Duka hazihitajika prescription ya Daktari. Lazima mtu atakae kuwa anauza asome kikozi cha muda mfupi pale TFDA (hyo ilikuwa zamani kidogo inaweza kuwa umebadilika ). Nenda TFDA pale mabibo wana muongozo jinsi yakuanzisha hii biashara na ni haisumbui sana kupata kibali chake. Kikubwa huu Mradi wa haya maduka ulianzishwa kwa maeneo ya nje ya miji ambapo pharmacies ziko mbali. Kwa maeneo ya majini ni kazi kupata kibali chake ( ilikuwa zamani sina hakika km imebadilika ama bado). Pili ukienda kuomba kibali lazima uwe na Eneo tayari ili waje kukukagua. Pia cheki website Yao www.tfda.or.tz
 
Uko Eneo gani?Ni Duka la Dawa Mhimu au Pharmacy?
Vitu mhimu
1)Frame ya biashara,isipungue sq.metre 15 kwa Yale ya Kawaida na sq.meta 30 kwa Pharmacy
2) Msimamizi wa Biashara,awe amehitimu matumizi ya ADDO kwa Duka la Kawaida au awe Mfamasia Aliyesajiriwa na Baraza kwa upande wa Pharmacy
3)Hiyo premises itakaguliwa ili upewe maelekezo ya jinsi ya kuweka fixtures.
4)Utahitaji kupewa kibali na Baraza la Famasi kàbla ya Kuanza biashara,baada ya kujidai vigezo tajwa hapo juu,kwa kusajili wa.
5)Ukisajiriwa ndiyo unaweza ukanunua bidhaa na Kuanza,baada ya Kulipia Lesenig za biashara,TRA tax clearance etc.
 
Anzia Baraza la Pharmacy au Mtafute Mfamasia wa Halmashauri au Manispaa au Jiji ulipo,utapewa maelekezo.
 
Mimi nakushauri hiyo million mbili ni vyema kwanza kuza mtaji,nakushauri tafuta shamba wekeza kwenye njegere,kunde,choroko,au bamia kwa muda wa misimu miwili utakuwa umepata mtaji wa kuweka kwenye phamacy,kwa sasa huo mtaji mdogo sana utaishia kwenye pango la nyumba.
 
Ulichokifanya sio ustaarabu,hakukua na sababu ya kumjibu kama hukua na majibu yakumpa.
Mkuu,
Usimlaumu huo ni ugonjwa sugi was watanzania.
Hawana majibu moja kwa moja sjui iko shida gani?
Hayo yote yeye aliyafanya angemwambia tu... Ndugu yangu eeh hiyo pesa ndogo, yule ajipange kivingine.
Yote ni kuji boast tu!
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na wazo la kuanzisha duka la dawa za mifugo hapa jijini Dar. Nahitaji kuanzia katika level ya chini kwakuwa mtaji wangu si mkubwa hivyo nilikuwa naomba ushauri wenu kwa wazoefu wa biashara hii au kwa madaktari wa mifugo. Note: Sina elimu ya mifugo lakini nafikiria kuajiri kijana ambaye amesomea mambo ya mifugo

1. Kuna masharti yapi ya kisheria katika kuanzisha biashara hii
2. Je, kwa kuanzia ni dawa zipi ambazo ni muhimu sana kuwa nazo kama ilivyo katika duka la dawa za binadamu huwezi kukosa dawa kama panadol.
3. Kama kuna mtu yeyote anafanya biashara hii dar, bagamoyo, kibaha au mlandizi nitashukuru kama ataniruhusu kuonana nae ili kujifunza zaidi.
4. Mawazo mengineyo pia yanaruhusiwa

Asanteni sana
 
Hongera kwa wazo zuri
Ngoja tusubili wenye kujua hii biashara waje
 
Habarini ndugu wa apa mahali! Naomba msaada mwenye ujuzi juu ya Ufunguzi au biashara ya Duka la Dawa Muhimu za binadamu, Hints
1.Hatua za mwanzo kabla ya kufungua
2.mahitaji gan muhimu kabla ya kufungua
3.Kiasi kipi ni mtaji kwa mwazo
Asante kama kuna nyongeza ntafrai nkipata kutoka kwenu wanandugu
 
ni mtaji kiasi gani?vifaa gani niwe navyo?ikiwa Mimi ninao utaalamu huo.
naomba kusaidiwa
 
Habari yako mkuu

Kwanza maabara za uchunguzi wa magonjwa ya binadamu zipo za aina tofauti kulingana na eneo lako, idadi ya wafanyakazi( hapa namaanisha na level zao) na idadi ya vipimo utakavyokuwa unafanya kwa sababu baadhi ya maabara haziruhusiwi kufanya baadhi ya vipimo.

Naamin wewe utakuwa unaanza na maabara ya kawaida kabisa hii tunaiita grade C hii ni aina ya maabara ambayo mostly inapatikana katika vituo vidogo vya afya kwa maana ya dispensaries.

Lakini pia unaweza kuifanya ikawa maabara ya kujitegemea

MAHITAJI;

1. JENGO

unapaswa kuwa na jengo zuri angalau lenye vyumba kuanzia viwil kwa maana moja ni sehemu ya kufanyia kaz na nyingine sehemu ya kukusanyia vipimo ( PHLEBOTOMY) bila kusahau vyoo

2. VIFAA

Vifaa inajumuisha

Microscope

Water bath

Refrigerator

Centrifuge

Hot air oven

Hb machine

Staining racks

Glass slides

Urine, stool and blood containers and test tubes respectively according to the corresponding test

Reagents na supplies zingine ndogo ndogo

Kwa ujumla wake hivi vitu kama tayari una jengo unaweza kuvipata kwa maximu 10million ukawa na kituo safi kabisa
 
Mkuu Pia kuna usajili, Lazima upate kutambulika na PHLB (Private Health Laboratory Board).
 
hapo juu nilimweleza habari za usajili

ni kweli lazima usajiliwe na bodi na wakague waone kama una staff ambao ni lab personnel wana qualifications za kupeform test tofauti tofauti
 
Mambo vip kijana naomba unit muongozo katika email address yangu
Khamu27@gmail.com
Ndugu yangu, naomba na mimi nikupe mwanga zaidi kwa faida ya wengine.

Kama baadhi walivyosema, kutokana na mabadiliko ya sheria, Tanzania kwa sasa hakuna maduka ya dawa baridi. Tuna maduka ya dawa muhimu (DLDM). Maduka haya yameanzishwa kutokana na utafiti uliofanywa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) mwaka 2001, na kubainisha mapungufu mengi ambayo yalikuwa yanafanywa katika maduka ya dawa baridi (DLDB). Mojawapo ni kuuza dawa zisizoruhusiwa kisheria kwa kutumia watoa dawa wasio na sifa; kugeuza maduka kuwa maabara na dispensaries na kadhalika.

Kwa ufupi tu, kutokana na hali hiyo, na kwa kuwa Tanzania ilikuwa ina huduma duni ya dawa kwa wananchi walio wengi, (ambao wanapatikana na vijijini na miji midogo), serikali ikaamua kuanzisha mpango wa DLDM kwa lengo la kuondoa matatizo yote yaliyobainishwa kwa utafiti. Pili ilikuwa kuruhusu dawa chache za msingi (few essential medicines) ziwepo kwenye maduka hayo, na watoa dawa wake wapate mafunzo maalumu, ili huduma ziwe bora na za uhakika katika maeneo ya rural, periurban na maeneo maalum yaliyoruhusiwa ambayo hakuna duka la Famasi.

Ili kuweza kuhakikisha haya, ngazi zote za utendaji, yaani ngazi ya kijiji au mtaa, ngazi ya kata, ngazi ya wilaya na mkoa wanahusishwa moja kwa moja katika utekelezaji wa mpango huu.

Sasa utaratibu ni huu:
1. Chukua fomu ya kuanzisha fomu ya kuanzisha DLDM kwa mfamasia wa wilaya unayotaka kufungua duka. Ijaze sehemu A, ukiwa umeambatanisha vyeti vya kuhitimu mafunzo maalumu yaani mmiliki na mtoa dawa, mkataba wa kazi baina ya mmiliki na mtoa dawa, pia commitment letter ya mtoa dawa katika duka hilo. Kama wewe ni mmiliki na pia ni mtoa dawa, huna haja ya kukusanya mkataba huo.
2. Fomu ipeleke ofisi ya kijiji au mtaa ambao duka litakuwepo. Wao watajaza sehemu B.
3. Fomu itapelekwa kwa ofisi ya Kata, watajaza sehemu C. Wakaguzi zaidi ya mmoja watakuja kufanya ukaguzi wa eneo na jengo kama linakidhi vigezo.
4. Fomu itapelekwa ngazi ya wilaya, na kabla hawajajaza sehemu D, watatakiwa kufanya ukaguzi tena kwenye eneo na jengo lako, na kuhakikisha mtoa dawa wako amepatiwa mafunzo. Kama kuna marekebisho utaelezwa na uyafanyie kazi. Lakini kwa kupitia kamati yao ya Chakula na Dawa inayoongozwa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Manispaa, itakaa kikao na kuyapitia taarifa za ngazi zote, na za ukaguzi. Maduka yaliyokidhi vigezo, yanapendekezwa sasa kwenda Baraza la Famasi (Pharmacy Council) waweze kutoa vibali. Ukishapata kibali unatakiwa urudi tena kwenye halmashauri au wilayani ukapate Leseni ya Biashara.

Nahisi nimekupa mwanga kidogo zaidi, ila kama ningekuwa na email yako, ningekutumia Kitabu cha mwongozo kinachosimamia mpango huu.

Thank you
Mwananchi mwenzenu.
 
Hapo itabidi tujaribu kucheki katika website ya tfda
 
Mambo vip kijana naomba unit muongozo katika email address yangu
Khamu27@gmail.com
OTE="Silumbe, post: 5741675, member: 110240"]Ndugu yangu, naomba na mimi nikupe mwanga zaidi kwa faida ya wengine.

Mam[/QUOTE]
Tafadhali naomba hapa hicho kitabu, defule@live.com
 
Back
Top Bottom