Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.

Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.

1681851625145.png
 
Pamoja na yote vunja bei ni kanjanja sana nguo anakuuzia bei pungufu kumbe ni low quality
Ukifua mara mbili inakuwa dekio
Alisema tz ni wengi ni wajinga hakukosea
Pale Woolworths mikocheni/shoppers wanauza jeans laki 3.5 je wewe una uwezo wa kununua jeans kwa bei hiyo? Hata mtu mwenye kipato cha mil 2 kwa mwezi hana uwezo wa kununua hiyo nguo.
Nguo anazouza vunja bei ndio hizo hizo zinazouzwa maduka yote k/koo
 
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.

Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.

View attachment 2592469
Mazanzibari ni mabaguzi sana linapokuja swala la ku-exploit fursa zilizopo Zanzibar, na mtumiaji huyo akawa ni mtanganyika (mtu kutoka Tanzania bara)

Wao Kariakoo, Tandika, Kigamboni, Mbagala wamejazana tele

Wako radhi fursa za biashara, ajira, nakadhalika vigawiwe kwa raia wa kigeni kuliko kwa watu kutoka upande wa pili wa muungano 'Tanganyika/Tanzania bara'
 
Back
Top Bottom