Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

Pale Woolworths mikocheni/shoppers wanauza jeans laki 3.5 je wewe una uwezo wa kununua jeans kwa bei hiyo? Hata mtu mwenye kipato cha mil 2 kwa mwezi hana uwezo wa kununua hiyo nguo.
Nguo anazouza vunja bei ndio hizo hizo zinazouzwa maduka yote k/koo
Woolworths noma. Mwaka fulani nilikuea nmetembelea na vipesa nikawa nanunuaga vitu vya mwanangu pale back 2015, vile visoksi vya watoto 18000 pair wakati vya kitaa buku tu.
 
Uzuri nguo zao mkataba sio aya malonya tunayouziwa k/koo nguo ukifua siku 3 tu inakuwa kama utumbo
Hata Max sijajua sasa hivi ila walikuwa na nguo quality. Nlikuwa nanunua nguo oale kwenye mall yao ya msasani cardet navaa mpaka nachoka mwenyewe au naacha kwa sababu yankuongezeka. Pia nguo za watoto safi na ni unique. Bei yao imeshiba ila si sana na kuna wakati wana sale. Ila nguo zao quality nzuri.
 
Hata Max sijajua sasa hivi ila walikuwa na nguo quality. Nlikuwa nanunua nguo oale kwenye mall yao ya msasani cardet navaa mpaka nachoka mwenyewe au naacha kwa sababu yankuongezeka. Pia nguo za watoto safi na ni unique. Bei yao imeshiba ila si sana na kuna wakati wana sale. Ila nguo zao quality nzuri.
Bei zao zimekaaje au ndio mkasi mkali?
 
Hizi nguo mnazivalia wapi kwendea kazini au Home 😥😥

Jeans 50K then unatoka nayo Home unaingia kwenye gari unaingia ofisini kutoka jioni unarudi Home 😂😂
Kazi zangu za shamba au nikiwa naendesha bike lazima nivae jeans
 
Pamoja na yote vunja bei ni kanjanja sana nguo anakuuzia bei pungufu kumbe ni low quality
Ukifua mara mbili inakuwa dekio
Alisema tz ni wengi ni wajinga hakukosea

Ulitaka uuziwe low quality bei ya juu? Mna hela za kununua high quality?
 
Hizi nguo mnazivalia wapi kwendea kazini au Home [emoji26][emoji26]

Jeans 50K then unatoka nayo Home unaingia kwenye gari unaingia ofisini kutoka jioni unarudi Home [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bei zao zimekaaje au ndio mkasi mkali?
Cardet mara ya mwisho zilikuwa 45000 ila muda wa sale zinashuka. Wana varieties za nguo maana kuanzia chini hadi juu ni maduka yao yote nguo zote zina logo za max. Fika siku moja pale msasani kwa mfano utaona mkuu
 
Labda jina Fred ndo limemponza? Duka lake lingeitwa Mansour nadhani asingepata shida sana. Namshauri abadili dini kinafiki ili mambo yake yasonge. Wale watu kwa udini wanajulikana.
 
Back
Top Bottom