Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hili nalo mkalitazame.Haya haya misheikh inayokula kitimoto kwa kujificha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo mkalitazame.Haya haya misheikh inayokula kitimoto kwa kujificha?
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa......yakheee....Wazenji wanajiona wazungu kisa hawana visogo
Mnoo, Wakati huku hadi viwanja wanamiliki, sasa nenda kajaribu huko uone mtitiMazanzibari ni mabaguzi sana linapokuja swala la ku-exploit fursa zilizopo Zanzibar, na mtumiaji huyo akawa ni mtanganyika (mtu kutoka Tanzania bara)
Wao Kariakoo, Tandika, Kigamboni, Mbagala wamejazana tele
Wako radhi fursa za biashara, ajira, nakadhalika vigawiwe kwa raia wa kigeni kuliko kwa watu kutoka upande wa pili wa muungano 'Tanganyika/Tanzania bara'
Maduka mengi tu hapo zenji wanauza hizo hizo tuvunja bei anauza nguo za grade 7 kutoka china,ukifua mara 2 hazifai
baadhi ya wenzetu wa tz ni wapumbavu sana. kama huyo anayeongelea jinsi ya laki 3 shoppers, kumtetea vunja bei ni kama vile halijui kwamba kuna foreigners/diplomats hapa nchini na hayo (shoppers,) ndio maeneo yao hasa ya kufanya matununuzii
kulipo mtu kununua nguo mf jinsi kwa baba toto ni kheri uende karume utapata jinsi nzuri na ya kudumu tena kwa bei poa watanzania tuache ulimbukeni wa kununua ma famba ya kichina na yalivyo mengi unaweza kukaa sehemu ukajikuta mmevaa nguo za kufanana watu hata kumi wote mmevaa mafamba ya kicina ya kina vunja bei
hata hapa dsm hususani kkoo, minguo imefanana mnakua ka kumbikumbiMaduka mengi tu hapo zenji wanauza hizo hizo tu
Kila soko lina wateja wakePamoja na yote vunja bei ni kanjanja sana nguo anakuuzia bei pungufu kumbe ni low quality
Ukifua mara mbili inakuwa dekio
Alisema tz ni wengi ni wajinga hakukosea
PamojaCardet mara ya mwisho zilikuwa 45000 ila muda wa sale zinashuka. Wana varieties za nguo maana kuanzia chini hadi juu ni maduka yao yote nguo zote zina logo za max. Fika siku moja pale msasani kwa mfano utaona mkuu
Huyo huyo vunjabei ndo alisema watz ni wajinga?Pamoja na yote vunja bei ni kanjanja sana nguo anakuuzia bei pungufu kumbe ni low quality
Ukifua mara mbili inakuwa dekio
Alisema tz ni wengi ni wajinga hakukosea