Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli, Kisandu hawezi kuweka mpangilio mzuri kama afanyavyo Beira Baby BoyDeo kisandu kaja na Akaunti mpya inaitwa Beira baby boy
Huu ndiyo mwanzo wa kuwa connected na underworld.Pole sana mkuu
Hata mimi kuna kipindi mambo yangu yalisimama yote nikawa sina A wala B
Sikujua sababu ni nini au ni kitu gan
Lakin baada ya kufatilia niliambiwa babu yangu ndo ananisumbua maana simujali na huyo babu yangu ashakufa
Sasa nikauliza simujal kivipi wakati hayupo ashakufa? Ndo nikawa nimeelekezwa
Labda nikuulize
Ni lin mara yako ya mwisho ya kupalilia kabur la bibi yako?
Je umeenda lin kuliona kabur la bibi yako japo kulishika mkono au kukaa juu ya kabul au kulilalia kabisa?
@joseveret jamani mbona anakuonea hivi,,,hajui unaweza mgeuza bataHahaaaaaa mama sabrina bhana et hujalia
kuna uz nilifungua jose akanambia naufuta huu uz nikamupuuza aisee akaufuta kweli bhana, nimesiktika sana
Naomba kujua kazi zake mkuu..Zina kaz nyingi sana mkuu vp unataka kujua kaz zake?
Pole sana ndoto ni bayanaSawa sema kiongozi jinsi unavyoelezea yaani kama kweli,unaweza kutunga tamthilia nzuri sana na kutunga kitabu kizuri coz unaweza kupangilia vizuri matukio.sema kiongozi kuna ndoto naiota sana na siipendi kwani hua naiota katika kipindi ambacho mambo yangu ya kiuchumi yamevurugika katika hali mbaya sana.
Hua naota nalala chumba alichokua analala marehemu bibi yangu na nikweli alivyokufa miongoni mwa watu waliokitumia kulala ni mimi.lakini kinachonishangaza ni kwamba nyumba yenyewe ilishauzwa na chumba kilishabomolewa lakini mara kwa mara mambo yangu yakiwa magumu yaani biashara zinaenda ovyo na kazini mara nimesimamishwa ndio naota.
Kwavile umekaa sana na bibi unaweza kujua kwanini inakua hivi
Uhatali wake ni nini kiongozHuu ndiyo mwanzo wa kuwa connected na underworld.
Waache waliokufa walale mpaka siku aliyewaunba atakapowaamsha.
Haya mambo ya kwenda sijui kulalia kaburi sijui kufanya nini ni hatari kwa maisha yako.