Duka la maiti

Duka la maiti

Pole sana mkuu

Hata mimi kuna kipindi mambo yangu yalisimama yote nikawa sina A wala B

Sikujua sababu ni nini au ni kitu gan

Lakin baada ya kufatilia niliambiwa babu yangu ndo ananisumbua maana simujali na huyo babu yangu ashakufa

Sasa nikauliza simujal kivipi wakati hayupo ashakufa? Ndo nikawa nimeelekezwa


Labda nikuulize

Ni lin mara yako ya mwisho ya kupalilia kabur la bibi yako?

Je umeenda lin kuliona kabur la bibi yako japo kulishika mkono au kukaa juu ya kabul au kulilalia kabisa?
Huu ndiyo mwanzo wa kuwa connected na underworld.
Waache waliokufa walale mpaka siku aliyewaunba atakapowaamsha.
Haya mambo ya kwenda sijui kulalia kaburi sijui kufanya nini ni hatari kwa maisha yako.
 
kichwa cha jamaa yetu ni kizima kweli? ngoja tukuandalie pambano na magwiji wa mchezo huu. mshana jr na mzizi mkavu. popote mlipo tafadhali.
 
Sawa sema kiongozi jinsi unavyoelezea yaani kama kweli,unaweza kutunga tamthilia nzuri sana na kutunga kitabu kizuri coz unaweza kupangilia vizuri matukio.sema kiongozi kuna ndoto naiota sana na siipendi kwani hua naiota katika kipindi ambacho mambo yangu ya kiuchumi yamevurugika katika hali mbaya sana.

Hua naota nalala chumba alichokua analala marehemu bibi yangu na nikweli alivyokufa miongoni mwa watu waliokitumia kulala ni mimi.lakini kinachonishangaza ni kwamba nyumba yenyewe ilishauzwa na chumba kilishabomolewa lakini mara kwa mara mambo yangu yakiwa magumu yaani biashara zinaenda ovyo na kazini mara nimesimamishwa ndio naota.

Kwavile umekaa sana na bibi unaweza kujua kwanini inakua hivi
Pole sana ndoto ni bayana
Uchumi wako umeshikiliwa ndugu chukua hatua
 
Huu ndiyo mwanzo wa kuwa connected na underworld.
Waache waliokufa walale mpaka siku aliyewaunba atakapowaamsha.
Haya mambo ya kwenda sijui kulalia kaburi sijui kufanya nini ni hatari kwa maisha yako.
Uhatali wake ni nini kiongoz

Ngoja nikupe mfano kidogo tu kuna dogo mmoja alikuwa akiingia darasan haon chochote ubaon sisi tukazan amelogwa kumbe shida ni bibi yake lakin baada ya kwenda kaburin kwa bibi yale had sasa yuko poa
 
Back
Top Bottom