Duka la maiti

Maisha yamekua magumu watu wamegeukia ulozi
 
Huu ndiyo mwanzo wa kuwa connected na underworld.
Waache waliokufa walale mpaka siku aliyewaunba atakapowaamsha.
Haya mambo ya kwenda sijui kulalia kaburi sijui kufanya nini ni hatari kwa maisha yako.
 
Hahaaaaaa mama sabrina bhana et hujalia

kuna uz nilifungua jose akanambia naufuta huu uz nikamupuuza aisee akaufuta kweli bhana, nimesiktika sana
@joseveret jamani mbona anakuonea hivi,,,hajui unaweza mgeuza bata
 
kichwa cha jamaa yetu ni kizima kweli? ngoja tukuandalie pambano na magwiji wa mchezo huu. mshana jr na mzizi mkavu. popote mlipo tafadhali.
 
Pole sana ndoto ni bayana
Uchumi wako umeshikiliwa ndugu chukua hatua
 
Huu ndiyo mwanzo wa kuwa connected na underworld.
Waache waliokufa walale mpaka siku aliyewaunba atakapowaamsha.
Haya mambo ya kwenda sijui kulalia kaburi sijui kufanya nini ni hatari kwa maisha yako.
Uhatali wake ni nini kiongoz

Ngoja nikupe mfano kidogo tu kuna dogo mmoja alikuwa akiingia darasan haon chochote ubaon sisi tukazan amelogwa kumbe shida ni bibi yake lakin baada ya kwenda kaburin kwa bibi yale had sasa yuko poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…