shishabikiii lakini unaandama sawa kuchoma gas station ya mtu binafsi ya nini hata hivyo polisi wamechelewa sna toka day one nilishauri wapigwe risasi kweli kweli pale mwanzo tu wasingefanya haya wanayoyafanya leo wamedhararu umeona madhara yamekuwa makubwa , Hta kenya walipoanza kupigwa risasi tu maandamano yakaisha ikabakia tu vi documentary vya ******* vya BBC na havisaidii chochote hata watoe series kabisa , yaanni binadamu nature yake ukimlegezea tu anakunyea , chomeni mabango ya mgombea , ofisi za ccm labda usigue public or personal properties ,