Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale jamaa bwana utasikia wateja wanasema eneo la location baya hili, pili wanasema nguo zako ni old fashion.Hongera umefanya biashara kisomi (ingawa picha uliweka mbili tu, labda kuna kitu hukutaka kukiweka wazi). Ungewatumia madalali wangeanzia 7M na wangekuletea stress mpaka ujute.