Hongera umefanya biashara kisomi (ingawa picha uliweka mbili tu, labda kuna kitu hukutaka kukiweka wazi). Ungewatumia madalali wangeanzia 7M na wangekuletea stress mpaka ujute.