Duka la paka lafurahishwa na watu nchini China

Duka la paka lafurahishwa na watu nchini China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka katika duka hilo.

VCG111394646301.jpg

VCG111394646310.jpg

VCG111394646313.jpg
 
Vitu kama hivi ndo anavyoviweza . Ila huku kwenye mabomu na mitutu awaachie wanaume akina Putin na Kiduku bila kumsahau Iran. Yaan lijitu lioga kama kitumbua .
 
Back
Top Bottom