Yaliwahi kunikuta kama hiyo story yako jamaa machine haisimami kabisa ni legevu kama utumbo inatoa malenda lenda aisee unaweza ukatamani uende kwa jirani kumaliza hajaHebu nipeni mikasa yenu, nijipooze labda nitaona hili la kwangu lina afadhali!
Huu uzi nimeuleta kwa ajili yako, najua unayo mengi moyoni.
Nimecheka sana, aiseeeh ๐๐Yaliwahi kunikuta kama hiyo story yako jamaa machine haisimami kabisa ni legevu kama utumbo inatoa malenda lenda aisee unaweza ukatamani uende kwa jirani kumaliza haja
Kama wewe mwenyewe hutaki kuzila mimi ndio nile? Si zitakuwa chungu sanaNjoo uzichukie bs na wewe mrembo
Kumbe una akili eeh ila ukija wew ntakupa chache๐Kama wewe mwenyewe hutaki kuzila mimi ndio nile? Si zitakuwa chungu sana
Hpn nilimuacha same dayNimecheka sana, aiseeeh ๐๐
Wanatiaga hasira, vipi ulimpa tena?
Hizo chache nahisi nitazitapika ๐๐ kaa nazo mwenyewe uwe unapigia pichaKumbe una akili eeh ila ukija wew ntakupa chache๐
Hapana hutozitapika walaHizo chache nahisi nitazitapika ๐๐
hahahahkaa nazo mwenyewe uwe unapigia picha
Huwa unanyimwa tamu na mkeo?
mke?Huwa unanyimwa tamu na mkeo?
Acha tu, lile zoezi si mchezo, nafikiri wanaume wote mnaozalisha mnatakiwa kuona inavyokua ili muwahudumie wake zenu vizuri baada ya kujifungua na msiwasumbue sana kuitaka kabla hawajapona vizuri!Mii niliona video moja ya mama anajifungua huko yutyubu, kwakweli ili nichukua miezi 6 kula mzigo tena, nyiee!! Acheni asee
Kuna kademu kamoja kana upwiru ila kananiletea maringo mwache umkabe kooUsinicheke jamani, hivi wewe unaujua upwiru wa miaka miwili halafu ufanyiwe hivi ๐ช๐ฉ.
Au huwa unazini tu?mke?
Kumbe kuna kupeana invitation za ndoa humu ๐Lini nimekupa invitation card ya harusi yangu
Umejuaje kana upwiru?Kuna kademu kamoja kana upwiru ila kananiletea maringo mwache umkabe koo
Swali gani hili sasaAu huwa unazini tu?
yeahKumbe kuna kupeana invitation za ndoa humu ๐
Hana mtu wa kumpa kipochi chake ila maringo mengiUmejuaje kana upwiru?
๐คฃ๐คฃ๐คฃmke?
Lini nimekupa invitation card ya harusi yangu