Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

Inawezekana wanaume tunapewa lawama tusizostahili na sababu ni wanawake mmekuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia

Kiuhalisia mwanaume akimwaga manii huishiwa nguvu , uume husinyaa na wengi husinzia baada ya muda kidogo japo kuna asilimia chache ambao ni exception.

Ikiwa unaona hakuridhishi tafuta mwenye uwezo huo au endelea kujibaka mwenyewe

Wahenga walisema ukipenda boga, penda na ua lake. Chochote ulichompendea huyo mwanaume ongeza na huo udhaifu wake

Wanaume na haswa vijana jifunzeni kutoka kwa huyu mnaigeria. Ukipewa mbususu chakata kadri ya uwezo wako as wrong as unafurahia wewe na yeye atatumia utaratibu mwingine kufika anapotaka kufika.
 
Hii ni chai jaba...
Tena ya mabele kabisa.

Huwezi first time ya kupelekewa moto uwe rider na mtundu lazima uwe na kitete..

Ila kwa namna unavyo ongea ukute ndo Nyinyi mnao lala kama magogo kitandani.

Nilipigwa tukio nikapitia depression mbaya na kidogo nife kabisa, ila baada ya kupona nayaona mapenzi kama sacred space sitaki kuyapaparukia.
 
Hpn nilimuacha same day
😆😂
Na alitaka kupeleka mahari kabisa,maana ni mtu nilijuana naye muda ila sex tukaja kufanya baadae sana.
Ila nikaona sitaweza kuvumilia kuachwa na upwiru
Bora, hapo angekuoa ni kutafutiana dhambi tu, huwezi kuvumilia kubaki na upwiru maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom