mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Haya hebu nishauri rafiki yangu maana wewe ni mtaalam wa haya mambo.Sasa naanza kuelewa kwanini upo single.
Haya hebu nishauri rafiki yangu maana wewe ni mtaalam wa haya mambo.Sasa naanza kuelewa kwanini upo single.
Nikiandika apa hayatoshi 😁Anza na lako kwanza wakati tunawasubiri wengine!
Kwanza, hayo mawazo ya mwanamke kuteseka na wewe ondoa kichwani, hayupo anayetaka hivyo.Haya hebu nishauri rafiki yangu maana wewe ni mtaalam wa haya mambo.
Hebu jaribu hata kufupisha tu 😂Nikiandika apa hayatoshi 😁
Enheee....Kwanza, hayo mawazo ya mwanamke kuteseka na wewe ondoa kichwani, hayupo anayetaka hivyo.
Mnaweza mkasaidiana au mkapambana wote kimaisha, ila lazima wewe kama mwanaume uwe na vision na ubebelee baadhi ya majukumu.Enheee....
View attachment 3669369
Asante sana, nitaanza kukunjua mkono wangu.Mnaweza mkasaidiana au mkapambana wote kimaisha, ila lazima wewe kama mwanaume uwe na vision na ubebelee baadhi ya majukumu.
Mwanamke lazima ajisikie yuko salama kwenye mahusiano yenu na kuna namna anakua taken care of (hata kama ni kwa udogo kwamba kila siku unamnunulia kitafunwa au bando la internet, au unamsaidia kazi zake za shuleni, au unamfanyia zile shughuli ambazo yeye haziwezi bila kukuomba, au kama ana kila kitu, basi unampa muda wako au sapoti ya aina nyingine yoyote) muhimu ni uwe na something to offer.
Ila kama utamtangulizia mindset ya mateso, sijui mteseke wote, hapo inakua ngumu.
Huo ni uzoefu wangu wa huku town, inawezekana huko bush wanawake wako na mindset tofauti, so siwezi kusem it applies kwa kila mtu.
Shimo la tewa no gereza huko kenya mkuuWakuu, tuende mbele turudi nyuma.. Asee kuna watu wana mashimo asee. Yale mashimo ya TEWA aliyoimba Samba Mapangala.
Kabla hata sija-bolt nilifuta na kublock namba.
#Humu tuu.
Mnanikabia kwa juu sana wakuu😁😁🙌Hebu jaribu hata kufupisha tu 😂
UkeKipochi manyoya ndio kitu gani
Sawa dadaa