Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #221
Usifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako 😂 😂dosho12 Binti wa zamani mwili wangu mtaukuta daraja la salenda 🙌🚶♂️
Usifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako 😂 😂dosho12 Binti wa zamani mwili wangu mtaukuta daraja la salenda 🙌🚶♂️
NIshajichukulia maamuzi 🙌Usifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako 😂 😂
Relax😁dosho12 Binti wa zamani mwili wangu mtaukuta daraja la salenda 🙌🚶♂️
Hamna wa kwake peke yake kizuri ale na wenzio🤣Usifanye hivyo, subiri na wewe nikutafutie wa kwako peke yako 😂 😂
We kwanini Uruhusu nishindie ugali na mchicha!🤣Mallerina utaweza kushindia ugali mchicha wewe, au unasema sema tu🌚
Hayo maamuzi tunajua yanakuponzaga,🤣NIshajichukulia maamuzi 🙌
Hapo sasa 😂 😂We kwanini Uruhusu nishindie ugali na mchicha!🤣
Hapana bado nakuhitaji na taifa linakuhitaji mpwaNIshajichukulia maamuzi 🙌
Kwani uongo alafu ana Figo zote mbiliHapo sasa 😂 😂
🤣🤣🤣🤣Haya njoo mama nitauza hata hizi kengele zangu.Kwani uongo alafu ana Figo zote mbili
Men are very selfish🤣🤣🤣🤣
Sio.uuze kwanza nije😁Haya njoo mama nitauza hata hizi kengele zangu.
Early redflagssss🤣duhMmmh, naona hatari kubwa mbele yangu
View attachment 3669165
Najua hivyo vitu vidogo vidogo kama figo havitakutisha 😂 hizo ni hatari ndogo sana!Mmmh, naona hatari kubwa mbele yangu
View attachment 3669165
Mimi nataka anipende hivi hivi na ushamba wangu.Najua hivyo vitu vidogo vidogo kama figo havitakutisha 😂 hizo ni hatari ndogo sana!
aunt naomba new comer mpya akiingia tu nipewe mimi 🤒Hapana bado nakuhitaji na taifa linakuhitaji mpwa
Mmmh, wewe ungeweza?Mimi nataka anipende hivi hivi na ushamba wangu.
Unataka umtesekee nani?Mambo ya kumtesekea mtoto wa mwanaume mwenzio ni uongo.
Limeisha hilo 😂aunt naomba new comer mpya akiingia tu nipewe mimi 🤒
Ningeweza jamani😅Mmmh, wewe ungeweza?
Unataka umtesekee nani?
Sasa naanza kuelewa kwanini upo single.Ningeweza jamani😅
Nataka tuteseke wote kwa pamoja.