Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Binti wa zamaniNdio wapi huko?
Binti wa zamaniNdio wapi huko?
Pambana bro ujipateSijajipata kabisa bro ndo maana hata dukuduku sina yani
Kwahiyo over 30 ndiyo wasiringe? labda hajakuelewa tu!Siko vzr ila najitahidi haiwezi kuwa kama Yako sema mwanamke over 30 maringo mengi ya nini then anaenda lalamika Kwa rafiki zake!
Mrembo anakuchukuliaje kwani 😆 ?
Akili yake fupi tu kutwa kuwalalamikia rafiki zake kuwa mungu hamuoni yeye, shauri zake mimi namkatia waya.Kwahiyo over 30 ndiyo wasiringe? labda hajakuelewa tu!
N vyema kuomba ruksaMrembo anakuchukuliaje kwani 😆 ?
Ila si umfuate mwenyewe, mbona PM yake iko wazi.
Yaani nimuite de gunner "babe"!??? Fanya kuniomba msamahaNinavyoijua jf unaweza kuta nje ya jf nyie ni wapenzi au ni id ya mtu mmoja ila humu mnatuektia.
Cc
harakati za siri
Ningeshangaa kabisa mm wa kudate na mcharuko kama weeeYaani nimuite de gunner "babe"!??? Fanya kuniomba msamaha
Hapo unatamani ingekua kweliNingeshangaa kabisa mm wa kudate na mcharuko kama weee
Napenda kufatilia nyuzi zake nione qnavyopigwa spanaKama sio babe wako basi ni id yako hiyo pia. Maana kila uzi anaoanzisha lazima uwepo hapo active
Nampenda sana ila sio kimapenziBasi ni crush wako ndo kawaida yenu wadada mkimpenda mtu hua mnamuonyesha chuki but deep down unakua unampenda sana ndo maana kila alipo unamfuatilia
Wewe ningekuwa nakuletea mchepuko hadharani maana una nongwa sana.Hapo unatamani ingekua kweli
😁😁sijui nitoe sijui ninyamaze dah🤣Embu na wewe tupe dukuduku lako,
Natamani kusikia kutoka kwako mkuu.
Mwisho ndiyo umefika sasa 😆Natoa wa mwisho🤣🤣
Nimefika kijana wangu, panda hapo juu utoe dukuduku lako!Binti wa zamani nna dukuduku
Mimi langu la kusema ni 'never give a chance to man /woman you have always been avoidingMwisho ndiyo umefika sasa 😆