Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

Attachments

  • FB_IMG_1787716014778.jpg
    FB_IMG_1787716014778.jpg
    31.8 KB · Views: 4
Sio lazima iishe yote kwa siku moja unakula uku unaweka vituo
Hii itanifaa 😆
Anyway kesho IGP, CDF wanakuja kuleta ushahidi mahakamani hakikisha unajipitisha mbele kwa mitego ya chumbani
Ilimradi niwatoe tu kwenye focus ili Tundu awabonde vizuri, si ndiyo?

Baba Antpass, sijakuona siku nyingi issac77
 
Back
Top Bottom