Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Nishakuonya!Acha mikwara bibi kizee😁
Nishakuonya!Acha mikwara bibi kizee😁
Nimesoma diha 😄😄 nimecheka sana et umerud kuoga jamaa lina koromaa🤣🤣Nilikua nakusubiri wewe ili niende nikalale, rudia kusoma utaelewa 😆 😆
umeona mie ndio wa kupigwa matukio eeh ,😏😏😏Washakupiga tukio au bado?
Hasira zake hazielezeki 😂 😂 😆Nimesoma diha 😄😄 nimecheka sana et umerud kuoga jamaa lina koromaa🤣🤣
Siku za raha zinakuja mama!Anyway mie leo sitii neno nasubiri
Siku ya raha za kisogoni tu 😊
Nakushusha kipenzi, kila kitu kitakua sawa, hugs 🤗🫂Nijimalize naomba nishushe dada ake mimi issue ni deep mahidiha
umeanza uchawii toka lini 😒😒Ndiyo
Naomba nije pmSafi tu.
Mwache afuge ampe amtakaye yeye bhn 😂 😂 😂Msemeshe vizuri, umbembeleze. Wasichana hawapendi kujisikia kama wanajirahisisha hata kama ana upwiru.
Ungemminya gorori utoke nduki😅😅Hasira zake hazielezeki 😂 😂 😆
Zije bana ili unipandishe 😊Siku za raha zinakuja mama!
Mahi raha zinamwagika 🫢😋😋Nakushusha kipenzi, kila kitu kitakua sawa, hugs 🤗🫂
Inasikitisha sana mkuu 😂Hamjui kitu 😂
Sawa, weekend siyo mbali 😂Ungemminya gorori utoke nduki😅😅
Zije bana ili unipandishe 😊
Mahi raha zinamwagika 🫢😋😋

au kwa juu 😆Leo alfajiri mkuu 😎umeanza uchawii toka lini 😒😒
Huhuhu niombee nimeshikika 🤣🤣Sawa, weekend siyo mbali 😂
Nataka unisimulie hizo rahaaa zinamwagika kwa chiniau kwa juu 😆
Navyopenda sasa, ukiona simu yangu kesho upokee fasta!Huhuhu niombee nimeshikika 🤣🤣
Nimeufyata 🤪
Yaan nikikumbuka picha zako selfika unaonekana mpolee then niki compere na hiyo dp na maneno yako unavyoomba PM mie hoi wallah 🤣🤣Sasa ShesRise_1 unacheka nn mm kuomba kwenda pm kwa mtu 😎
Ushaoga maji ya baharini 😂 ?Naomba nije pm
acha nikutengezee ndoto ya kukuota nikuote nitavyojua mwenyewe 😁😁Leo alfajiri mkuu 😎
Sawa maa iwe time ya lunch 😆😆Navyopenda sasa, ukiona simu yangu kesho upokee fasta!
Ah mm kupigwa za uso n jambo la chap tu 😎Ushaoga maji ya baharini 😂 ?