Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #141
Na ulivyo mgumu kutiririka, ukishusha itakua sapraizi!Kesho nitashusha kurasa
Na ulivyo mgumu kutiririka, ukishusha itakua sapraizi!Kesho nitashusha kurasa
Jinga sana ewe ngikuru
Ebu sema kitu unachotaka kusema 🤣Kazi njema kipenzi 😂
View attachment 3668097
Nimekabwa mdogo wangu, nina mengi 😂Ebu sema kitu unachotaka kusema 🤣
Kishundu cha rafiki yako anayewashwa 😎Hicho ni kishundu au macho yangu
TobaaaaKishundu cha rafiki yako anayewashwa 😎
Ongea japo moja tu 😅Nimekabwa mdogo wangu, nina mengi 😂
Hiyo kazi unaifanyia kitandani au unatoka nje ya nyumba?Ongea japo moja tu 😅
Ni kazini mahi kibaruani😆😆Hiyo kazi unaifanyia kitandani au unatoka nje ya nyumba?
Hata ya kitandani nayo si kazi? au hiyo haihesabiki?Ni kazini mahi kibaruani😆😆
Hivi unawaza nini wewe lakini lol 😆
We acha naona raha mieeee nitake nini ya Rab😊🤗🤗Hata ya kitandani nayo si kazi? au hiyo haihesabiki?
Nawaza hizo raha zinazokumwagikia unapewaje pewaje 😂
Kabudi anaku find 😒😒Leo alfajiri mkuu 😎
Kwa mganga wako 😎Kwa nani?
C ndiooooooooooooooo 😂Kumbe kwahiyo unajichetua sio 😆
Kwakweli 😊😊C ndiooooooooooooooo 😂
Tunachangamsha kijiwe tuu
Huna lolote bali ni kamdomo tu😎
Asisumbue watu, anajua pa kunipata 😎Kabudi anaku find 😒😒
Yani uliondoka, ukarudi ukaanza kukagua salio kwenye suruali au ilikuaje?Hata ungekua wewe unarudiaje kudinya mtu umeenda kujisafisha unarudi unakuta kwenye suruali teni haipo..!!