Pakishatandikwa jamvi basi mazungumzo hayakosekani. Karibu tubadilishane uzoefu, tujifurahishe na tujifunze kuhusu misukosuko mbalimbali ya kimaisha na mahusiano.
Jichagulie jambo unalolitaka tuzogoe!
- Nini kilikufanya usitake tena kurudia kukutana na mtu kimwili (sex) baada ya kufanya naye kwa mara ya kwanza?
- Tuambie kero, makwazo au jambo lolote lisilofaa ambalo limeshawahi kukukuta au bado linakusumbua faraghani kwenye kufanya tendo na mpenzi au mwenza wako.
- Ushawahi pigwa tukio likakufanya ujipe likizo ya mahusiano na mapenzi kwa muda kidogo? ilikuwaje?
- Kama kawaida, uliza swali lolote nitakujibu.
ACHA NIANZE :
Dukuduku langu ni hapo kwenye No 1.
Heka heka za ujanani, baada ya kuachana na huyu jamaa niliyemuongelea kwenye “
utamu wa tunda” ile heartbreak ilinipiga nikakaa nje ya mahusiano na bila kudinyana kwa zaidi ya miaka miwili. Ikatokea kuna mkaka amenifuatilia sana bila kukata tamaa, basi nikamkubaliana tukaanzisha mahusiano, siku zikaenda ikafika siku ya mechi yetu ya kwanza, nikaenda kwake, story zikaanza, tukala ila ikafika muda tukaenda chumbani.
Tumefika kitandani, nina upwiru wa miaka miwili, hamu imekaa mahali pake, najua hata angeniingizia bila kunigusa nilikua nishaloa. Ila mwenzangu akaanza maandalizi yasiyoisha, nililambwa kila panapolambika, oili ikapimwa sana na nikasuguliwa kibean mpaka nikacheua 💦. Nilivyoona maandalizi yamekua marefu sana, nikashusha mkono kuikamata mashine yake ili niichezee kidogo, nikakuta tayari imesimama, nikajisemea weeeh usinipotezee muda, nikaanza kumvuta aje juu yangu ili niuingize mchi wake kwenye kinu. Ile naiweka tu ndani naona tayari ameanza kupumua kama kiboko, nikajua labda utamu tu, mara sekunde kama 40 nasikia “
oooh mpenzi nakojoa ….. oooh oooh” na kweli akamwaga bwana.
Nikapata makasiriko ila nikajisemea itakua ni wale wazungu kiherehere wa kwanza, nikatulia nikingojea raundi 2. Story zikaanza pale kitandani huku tumecuddle, mimi muda wote naiangalia mashine kama imesimama, akitaka tujifunike shuka nakataa kwa kisingizio cha joto.
Lisaa la kwanza likakata, la pili na nikaona ni kama anataka kuanza kusinzia. Nikajisemea moyoni hapa inabidi nijiongeze. Katikati ya kumsemesha nikashusha mkono chini nikaikamata mashine nikaanza kuitekenya tekenya, mambo si haba nikaona inaitika. Nikatoka kwenye kumlalia, nikaenda mbele yake, nikaanza kuimassage vizuri na kutuma salamu mpaka ikanyanyuka vizuri.
Sikutaka asumbuke, nikamuwahi mwenyewe nikampandia kwa juu. Kabla sijaiingiza, nikaanza kwa kufunua funua kipochi manyoya na mashine yake, kila nikipitisha kichwa juu ya kipochi naona mwenzangu pumzi zinachanganya, si nikawa nafurahia najua mambo yameiva. Nikajiweka vizuri pale juu, nikaikalia mashine, nikaizamisha kwenye kipochi, nikaanza kujisugua. Haijapita hata dakika nashangaa nasikia mwenzangu kaanza kugugumia tena, nikaendelea kujipimia raha huku naongeza spidi ya kujisugua, mara nasikia tena
“oooh aaaah nakojoa, aaah aaahaaa” kweli akamwaga, bado niko kwenye bumbuwazi, yeye akaanza kunishukuru halafu akanivuta kifuani kwake, ananikumbatia huku bado anagugumia.
Nilijisikia kitu kimenikaba kooni kwa hasira, nikamwambia nahitaji kwenda bafuni, nikanyanyuka. Nimefika mule ndani, nikafunga mlango na funguo, nina hasira na genye kali nasikia kipochi manyoya kinabana kinaaachia kinataka kusuguliwa. Niliona hapa siwezi kufika nyumbani, naweza kupata ajali njiani, basi nikalala sakafuni pale pale bafuni, nikashusha mkono kwenye kipochi, nikajib@k@ mpaka nikafika kibo.
Nilivyotoka bafuni nikakuta jamaa limelala linakoroma, nikavaa nguo zangu, nikaondoka. Nikamtumia meseji nilivyofika nyumbani kwamba, siko tayari kuwa kwenye mahusiano mapya na ikawa ndiyo mwanzo na mwisho wa mimi kufanya naye tendo.
View attachment 3667945
Vipi wewe, nini kilikufanya usirudie baada ya kukutana na mtu?
Alamsiki!