Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

Yani uliondoka, ukarudi ukaanza kukagua salio kwenye suruali au ilikuaje?
Ulivyomuuliza akasemaje? au Labda ka nauli tu akupunguzie kazi!
Nimemnyandua sasa huruma yangu nitoe hata cha ten nimbarikie kumbe liizi yaani nilijikuta nammaindi hata sikutaka kumuuliza maana alijikadiria nikamuacha ila nikaapa sirudi ng'oo
 
Back
Top Bottom